The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
nimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.Tahmmed kwenye cargo ya zile fuso kwa sasa anafanya biashara kuliko hata buses,mombasa hadi magodoro wananunua TZ,sofa,nguo za kike hasa madera zote wanatoa TZ,fuso za Tahmed kwa siku hata 5 zinatoka pale kkoo ofisini kwao,shida iliyoko TZ tuna viongozi vilaza awaweki data vitu tunavyoexport kunyastan,kwa upande wa nairobi pochi za kike wanakuja kuchukulia TZ,sasa hivi TZ ndio china yao wakunya
wewe na Kiranga mnafanana mambo mengi sn, kuna mda nilifikiri Kiranga ni id yako nyingine, alafu kuna mzee mmoja anaitwa mzizi mkavu bingwa wa dawa za kienyeji naye mnafanana miandiko.mzee baba so mimi nimekuwa SI unit? 😉😉😉
Kulaumu viongozi hamuwezi kuleta suluhisho hasa kama hizo biashara zinafanyika kinyemela/black market.Tahmmed kwenye cargo ya zile fuso kwa sasa anafanya biashara kuliko hata buses,mombasa hadi magodoro wananunua TZ,sofa,nguo za kike hasa madera zote wanatoa TZ,fuso za Tahmed kwa siku hata 5 zinatoka pale kkoo ofisini kwao,shida iliyoko TZ tuna viongozi vilaza awaweki data vitu tunavyoexport kunyastan,kwa upande wa nairobi pochi za kike wanakuja kuchukulia TZ,sasa hivi TZ ndio china yao wakunya
Hapo hawezi kuweka pua yake atapita tuu kimya kimya.Picha za kutisha 👇View attachment 2857307View attachment 2857310.. Teargas. Hapo vipi mzee baba.? 🤣🤣🤣
ngoja nimtafute huyo Mzizimkavu tukutengenezee dawa!wewe na Kiranga mnafanana mambo mengi sn, kuna mda nilifikiri Kiranga ni id yako nyingine, alafu kuna mzee mmoja anaitwa mzizi mkavu bingwa wa dawa za kienyeji naye mnafanana miandiko.
Huu ni upumbavu. Hii ni ofisi ya mkuu wa wilaya. Halafu tuoneshe kituo cha afya cha wilaya ya Misungiwi.
Misungwi Kuna Hospital ya Wilaya yenye hadhi na Vituo vya Afya kede kede.Huu ni upumbavu. Hii ni ofisi ya mkuu wa wilaya. Halafu tuoneshe kituo cha afya cha wilaya ya Misungiwi.
Tupe majengo yake tuone yanavyo fanana na hii ofisi ya DC.Misungwi Kuna Hospital ya Wilaya yenye hadhi na Vituo vya Afya kede kede.
Ccm shida yake viongozi wanachoangalia takwimu za familia zao tu,hawana mpango kabisa na maendeleo ya nchi,kunyan wananufaika sana na nchi yetu,yan wanajichotea minyama na wakitoka hapo utasikia wanatupondanimeongea sn kuhusu kulala kwa viongozi wa hii nchi, tatizo wengi wazee, CCM inatuharibia sn hii nchi, imagine takwimu kama hizi hazionekani, wenzetu wakunya hata wakiuza kijiko Tz wanakipiga picha wanapost, nchi ina viongozi mizigo sn hii.
Ila ile SGR station pale posta ni ndogo sana ukizingatia kuna abiria wa treni ya kawaida watahudumiwa pale pia, serikali Ina mpango gani juu ya hilo.?
sina uhakika ila kwa kuanzia conectivity ya ile BRT phase III ya Gongo la Mboto ifike angalau SGR Pugu station iangaliwe na pia Magufuli Bus Terminal iunganishwe na SGR Pugu station kwa barabara BRT na hata treni za mjini ili wale wanaotaka kusafiri na SGR toka uwanja wa JNIA na kutoka Magufuli Bus terminal wasilazimike kuja Posta Stesheni! Pia wanaotaka kusafiri na ndege toka SGR na toka Magufuli Bus Terminal wafike JNIA kwa urahisi. Nadhani mipango ipo ila utekelezaji wake sijui lini! Kumbuka kuna miradi ya Bus Terminal Mbagala na pia ring superhigway sijui imeishia wapi?Ila ile SGR station pale posta ni ndogo sana ukizingatia kuna abiria wa treni ya kawaida watahudumiwa pale pia, serikali Ina mpango gani juu ya hilo.?