IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 6,628
- 7,820
Manze kazi ianze hii electioneering period imetuwaste sana hatutaendelea ivi... Wasee waanze works serious...itabidi arudi ofe aanze kazi...amsumbuliwa sana Mr Prezzo
Manze kazi ianze hii electioneering period imetuwaste sana hatutaendelea ivi... Wasee waanze works serious...itabidi arudi ofe aanze kazi...amsumbuliwa sana Mr Prezzo
50b ni budget ya TZ
its modern in bongo...many of tzs rich guys oftenly seek medication in nairobiHii Hospitali ni yakisasa zaidi kusini mwa sahara ukiondoa Afrika ya kusini, is the most modern with state of the art technology and equipments in southern of Sahara out of South Africa, go.. go..go.. Tanzania
punguza hasira msee...by the way i know you are aware about thisPwahahaha wameanza kuleta zile camera za ufala...sijui walkua wanaita aje...
With a 45bn US economy.50b ni budget ya TZ
With a 45bn US economy.
Halafu thet are playing dumb here wakisema their economy is growing at 7% while Kenya's is growing at 5.5pc.
Technically, Kenya's economic growth rate is higher than Tanzania's considering Kenya's GDP is higher, so when you do the 7% of $45bn you will realise that it's way lower than 5.5% of $75bn.
hawana pa kukimbilia...jf ndio sehemu yao ya kupunguzia stress.Utafanya watu wakimbie JF

Subutu, njoo Dar uwaone wenzenu wakenya walivyojazana ocean Road Cancer institute wanavyotibiwa cancer, by the way hiyo cancer institute ya Ocean road ndiyo kubwa na ya kisasa kuliko zote katika ukanda huu, kama mnayo Kenya lete tulinganishe.its modern in bongo...many of tzs rich guys oftenly seek medication in nairobi
Uganda MPs impressed by Jakaya Kikwete cardiac Instituteits modern in bongo...many of tzs rich guys oftenly seek medication in nairobi
Mwabie apitie hapaSubutu, njoo Dar uwaone wenzenu wakenya walivyojazana ocean Road Cancer institute wanavyotibiwa cancer, by the way hiyo cancer institute ya Ocean road ndiyo kubwa na ya kisasa kuliko zote katika ukanda huu, kama mnayo Kenya lete tulinganishe.
Jakaya Kikwete cardiac Institute ndiyo kubwa na yakisasa zaidi kuliko zote kusini mwa jangwa la sahara ukitoa South Africa na Namibia, wakenya wamejazana hapo wanasubiri operation za moyo bila kufungua kifua, Tanzania ni nchi pekee katika ukanda huu ambayo wagonjwa wote wa Moyo wanatibiwa nchini, na sasa hivi tunatibu wagonjwa wa nchi jirani ikiwemo Kenya, ukitaka ushahidi tutakupa..Kenya is old story my friend..
COLLOH, pitia hii link ujionee vimbwanga, ninamtafutia link ya MOI nayo pia aione, wakenya hawaijui.vizuri Tanzania, sisi sio watu wa kupiga kelele, tunafanya kimya kimya...kwenye upande wa specialized Hospitals, Kenya umeachwa mbali sana na Tanzania, hii inayofunguliwa keshokutwa ndiyo itawamaliza kabisa,