Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba hiyo inefficiency imeanza mwaka huu.
Kutetea serikali ya Zakayo kazi sana, yaani Bandari ya Dar Es Salaam ikishiba ndo bandari yenu inapata makombo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2856256
ooohh nice upper cut, and down goes NairobiWalker 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tz upinzani Bado hawajajipanga
We unataka wajipange vipi mkuu!? Au unataka wajipange kwa kuingia msituni?

Wamejipanga sana na wana Shauku sana ya kuwaonesha Watanzania kuwa wao ni bora sana kuliko CCM ila shida ni kwamba;watu waliopo kwenye mfumo hawataki kukubali kuwa wanatakiwa wawape watu wengine mamlaka
 
Unaongelea the same Kigoma with no tarmac roads?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…