Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,250
- 107,876
Ni bora kuliko wale wa Mwendazake wanaohangaika kulazimisha mtu wao!The next president of the United Republic of Tanzania a.k.a PURT, watake wasitake. Si mmesema wenyewe nchi yetu haina ubaguzi?
Huyu Msomali Anapiga kazi sana na hana uchawa kama wale viongozi wengine wa CCM.Bashe ni moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kuwanao hapa nchini, this bro is doing great job 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1EIHcDMT7J/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Magufuli ni Raisi bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania hata wewe mwenyewe moyoni unajua hilo na quotes zako nnazo ukipinga nitag nikuletee, ulitoa ushauri fulani hivi kwenye uzi wako na Magu akaufanyia kazi, wewe unamkubali sn Magu sema maisha ya kiafrika yanajulikana bila unafki tonge litaingia kwa tabu kinywani, Bashe pia ni mfuasi wa Magu na aliwekwa serikalini kwa mara ya kwanza na Magu huyo huyo, hii ni kutokana na ukweli kwamba Magu hakubagua, ukiwa genius hata kama unampinga anakupa kitengo, kama Bashe alikuwa anakosoa sn serikali ila Magufuli akaona ana point zen akampa kitengo. Ni ngumu sana kumtofautisha Magu na Tanzania mpya, ni ngumu mno hata wewe unajua.Ni bora kuliko wale wa Mwendazake wanaohangaika kulazimisha mtu wao!
We kima nakumbuka ulikua ukibeza Chinese made buses .. this is Boston US importing more than 1500 subway trains and 50 commuter buses. 👇Who is motorist association of Kenya?
Huyu mchina anaongea Kiswahili kizuri kuliko hizi mungiki humu ndani 🤣🤣🤣
Wote walio kwenye kuumendea urais baada ya mama wana skendo za wizi,nq imani Mungu atafanya miujiza wale.wezi watuhumiwa wasifanikiwe dhamira yaoHuyu Msomali Anapiga kazi sana na hana uchawa kama wale viongozi wengine wa CCM.
Anapaswa aiongoze hii nchi ila bahati mbaya hayupo kwenye ule mkeka wa "WATEULE"
Ila anapaswa atuambie ni kwanini Hamas wamemuua kijana wetu Joshua
Wakati kunyan wanaringia kiingereza na huku wakiandamana sababu ya sima,sisi wenzao hali ni tofauti kabisa 😂Kunyan siku wakijenga kitu kama hii Itaitwa Majina ya kila Aina Mengine Hayapo Dunia sio International , Utra au Super
View attachment 2847928
Harafu utamsikia mtu anasema awe Rais sijui PM.Bashe ni moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kuwanao hapa nchini, this bro is doing great job 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1EIHcDMT7J/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.