Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,215
- 35,599
TZ kuna nchi raia wake wamejaa kama malawi na congo na utosikia wanabughudhiwa kuhusu visa,ila nyang'au chamoto uwa wanakiona hasa wale walimuTanzania tunaweza ruhusu raia wa Nchi zingine zote kuingia visa free isipokuwa Nyang'au.
Hongera Uganda
View: https://twitter.com/The_EastAfrican/status/1737008311810081186?t=AnZT4fDtNa0OmeM97ALBkw&s=19
Wakundustan wengi hawana akili sasa DRC ianzeje kupitishia mizigo yake Dar wakati mtumiaji mkubwa wa bandari ya Dar ni mkongomani
Dar inahudumia 55 to 60% ya cargo ya DRC! Kama unajua ukubwa wa DRC unaweza kuona hata Mombasa wanaweza kupeleka cargo kule! Kumbuka DRC ina-share border na Uanda na South Sudan pia!Huu ulikua ni ujinga wetu,hivi kijiografi ni aibu kwa drc kutumia msa port instead off dar port
haya machuma kwenye magari si yalikatazwa? Inakuwaje Polisi wanayaruhusu?
what are you celebrating here? Kenya is expecting more ships than Tz, also that dar port is inefficient over 50 ships waiting yo be off-loadedπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
Dar Es Salaam Port.
56 Ships bandarini.
15 vessels have arrived within the past 24 hours.
View attachment 2846749
Jirani Port.
28 Ships bandarini
5 vessels have arrived within the past 24 hours.
View attachment 2846751
Hasora tawara. πππ
Kwa haraka haraka utagundua ni nchi gani shughuli za kiuchumi zinaenda vizuri.
Dar Es Salaam Port kukiwa na foleni ndo jirani anapata ahueni ya kupata mizigo.
unajua maana ya expected? Not fixed! so u mean in those 30 days no increase of ships to Dar port?what are you celebrating here? Kenya is expecting more ships than Tz, also that dar port is inefficient over 50 ships waiting yo be off-loaded
Oneni huyu duwanzi.what are you celebrating here? Kenya is expecting more ships than Tz, also that dar port is inefficient over 50 ships waiting yo be off-loaded
ila swali la kiwivu alitakiwa aulize mbona hamna balanced grid network Ukunyani? Its as if we r not supposed to have a superior grid network!Wakundustan taratibu wanajiondoa kwenye fake comfort themselves wamekua wakiishi for decades
View: https://x.com/KenyaFraternity/status/1736966128067281356?s=20
View attachment 2846882
Is expecting ......πππwhat are you celebrating here? Kenya is expecting more ships than Tz, also that dar port is inefficient over 50 ships waiting yo be off-loaded
the East African wanadai ship turn around time ni 16 days! π π ππOneni huyu duwanzi.
Dar port, 15 vessels have arrived within the past 24 hours.
How about jirani port!
ποΈποΈπ€¬π€¬π€¬π€¬π€¬π€¬π€¬π€¬πππ
View: https://x.com/mdudechadematz/status/1736617951606837248?s=20
Nimependekeza Serikali ifanyie kazi hizi route hapa πTuboreshe miundo mbinu ya mtwara port na tanga port ili meli zingine ziwe zinaelekea huko
ila hiyo ya Mtwara inahitaji branch kwenda Mbamba Bay Lake Nyasa ni karibu zaidi na Lilongwe!Nimependekeza Serikali ifanyie kazi hizi route hapa π
View attachment 2846909View attachment 2846910Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized. Kwa Sasa kikosi kazi kutoka Chika tayari kinaendelea na kazi ya upembuzi yakinifu wa namna ya kuifufua na...www.jamiiforums.com
Sikuwahi kunyamazia ugaidi aliofanyiwa Joshua, nilienda mbali mpaka kuhoji kwa nini serikali imekaa kimya?Joshua Mollel, miaka 21 tu na alifika Israel September na kufanyiw unyama huu October