Ili Kuongeza Ufanisi wa reli ya TAZARA,Tanzania na Zambia Ziiombe China Wajenge reli Mpya ya Makambako-Mtwara & Kasama-Lubumbashi/Likasi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized.

Kwa Sasa kikosi kazi kutoka Chika tayari kinaendelea na kazi ya upembuzi yakinifu wa namna ya kuifufua na kuifanga reli hiyo iwe na Tija kiuchumi.

Ni maoni yangu kwamba Kwa Sasa reli ya TAZARA inaishia Mji wa Kapirimposhi Zambia na pale imeungana na Reli ya Kutoka Lobito-Angola-Lubumbashi Hadi Kapirimposhi.

Mojawapo ya sababu zinazotajwa kuifanga TAZARA isilete Ufanisi ni kutoungana na Mji wenye migodi Mingi wa Lubumbashi huko DRC hivyo wasafirishaji kuamua kutumia Malori kuepuka gharama za pakia pakua.

Hivyo basi ni maoni yangu kwamba Serikali zetu za Zambia,Tanzania na DRC zije na proposal Kwa China Ili kujenga vipande vipya vya reli ambavyo Kwa maoni yangu vitaleta Tija na Ufanisi wa TAZARA na kukuza uchumi wa Nchi hizo.

Route Mpya nazopendekeza ni zitapita kwenye Miji ifuatayo;

1.Kasama-Luwingu-Chipili-Mansa(ZBA)-Lubumbashi(DRC)-Solwezi(ZBA).
-Njia hii itaunganisha Mji wa Lubumbashi Moja kwa Moja na TAZARA Kupitia kwenye Makutano ya Kasama ambapo Kuna reli ya TAZARA.Pia reli inaweza kuwa extended Hadi Kaskazini mwa Zambia kwenye Mji wa Solwezi.
Screenshot_20231216-150011.jpg

2.Kasama-Luwingu(ZBA)-Kasenga-Likasi(DRC).
-Route hii itaanzia Mji wa Kasama ambao unapitiwa na Reli ya TAZARA hivyo utakuwa ndio Maungio na inaenda kuishia Mji wa Likasi ambapo inaungana na reli inayotoka Bandari ya Lobito ya Angola.
Screenshot_20231216-145622.jpg

-Hizo route Mpya zote zinapitia kwenye Maeneo ya Migodi na ni shorter distance ikilinganishwa na mzunguko wa Kupitia Kapirimposhi na ambako haifiki Lubumbashi.

3.Makambako-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Ruangwa-Mtwara Port.
Screenshot_20231216-135149.jpg

-Reli hii ikijengwa itafanya pale Makambako kuwa Dry Port na makutano ya reli.
-Hii route ni muhimu Kwa sababu itampa msafirishaji option ya kuchagua wapi apigishe mzigo wake kati ya Dar au Mtwara Ili asichelewe na in fact ni route nzuri sana Ili ku boost Bandari ya Mtwara na kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar.

Ukiangalia umbali wa kutoka Makambako Hadi Dar na Makambako Hadi Mtwara via proposed route ni the same so hakuna haja ya kurundikana Dar Port.

So Kwa kuwa Wachina wanaendelea na tathmini ni vyema TAZARA na Serikali husika waweke Hilo swala mezani Ili kuangalia uwezekano wa kujengwa,gharama husika na faida kiuchumi.Japo Kwa haraka haraka ukiangalia Ramani zilivyokaa ni wazi ni profitable routes.
Pia soma

My Take
Pamoja na mapungufu yake,Mambo kama haya ndio Yalikuwa yanamtofautisha Mwendazake Magufuli na wengine ambao Kila kitu wanaona hakiwezekani.
 
... mradi ambao feasibility study ita-cost 10tr/- sijui wenyewe utagharimu how much! Wazo zuri ila usubiri angalau 100 yrs to come.
Acha uongo basi, feasibility study ipi hiyo ya kugharimu pesa zote hizo?

By the way unaijua feasibility study lakini? Unaijua 10t lakini?

Teknolojia Kwa Sasa imeendelea Kila kitu kinafanyika very simple hapo kwenye laptop.Satelliete map zinaonesha Kila kitu kwamba wapi Kuna nini ni Suala la ku plot points tuu.
 
Vitu kama hivi vinahitaji midahalo ya kitaifa, bahati mbaya nchi yetu upande wa midahalo ipo nyuma sn
Ni jambo jema, kwenye mazuri tutapongeza na penye mapungufu tutasema
Mambo kama haya ndio Mwendazake alikuwa anawashinda wengine,watu mnajivuta vuta mara wanaona ni haiwezekani wakati ni vitu simple tuu vya kutoa maamuzi.

Kama Mchina hataki mnafanya wenyewe Kwa maslahi yenu.
 
kwanini tuwaombe China, ina maana mpaka leo 2023 Tanzania na Zambia hatuna uwezo wa kujenga reli? tena reli ambayo haina mbwembwe ni kupasua tu milima na tujenge hata hii tu MGR.

Huyu Mchina hata hiyo Tazara alivyotusaidia hakuja na vifaa bali alikuja na manpower tu ambayo ilikuwa na kama forced labor + watu wachache wenye maarifa akajenga reli kwa mikono mpaka kapiri.

Yaani sisi hatuna nguvu kazi ya kujenga MGR kwa mikono kutoka hapo Makambako to Mtwara port?
 
Mambo kama haya ndio Mwendazake alikuwa anawashinda wengine,watu mnajivuta vuta mara wanaona ni haiwezekani wakati ni vitu simple tuu vya kutoa maamuzi.

Kama Mchina hataki mnafanya wenyewe Kwa maslahi yenu.
Shida ya nchi yetu imewekeza kwenye starehe na ufisadi na siyo vitu kama hivi, pesa nyingi zinaibwa na kununua V8 za wakubwa, hii mbona tunaweza kabisa, pesa zikiokolewa pale bungeni 470,000 kwa siku 90 bunge la bajeti kwanini wasifanye online(video conference)? technolojia ipo juu badala ya kulipana posho sijui kamati mara vikao na watu wanaenda kusinzia tu bungeni, kuna sababu gani ya kupandisha per diem kutoka 120,000 mpk 250,000 katikati ya umasikini huu? tatizo la Tz ni matumizi makubwa ya hovyo haswa na wizi serikalini. Hili jambo mbona tunaweza sn tu
 
Yaani weyewe mshindwe kujenga reli yenu halafu mnataka kuitegemea China ili iwajengee??
Hii reli ya TAZARA wamewajengea bure lakini mmeiua, na mmeshindwa kabisa kuiendesha kwa faida, halafu leo hii mnaitaka tena China ije iwajengee tena reli nyingine!?!!
Angepewa mwekezaji mzawa mbona anaweza? Precision Air ameweza na anapata faida pamoja na kwamba hana ruzuku, ATCL inapata hasara pamoja na kwamba inapata ruzuku kubwa sn tu na mishahara inalipwa na serikali.
 
Hakuna mahala nimesema watujengee Bure Bali wao Kwa kuwa wako financially stable ni rahisi kuwa engage tukalipana mbele ya safari Kwa sababu tukiongeza Ufanisi wa Bandari zetu itakuwa nzuri sana.
 
Serikali za Zambia na Tanzania Kwa Sasa ziko kwenye Majadiliano na China Ili kuwapa uendeshaji wa reli ya TAZARA ambayo pia ilijengwa na China lakini Kwa miaka Mingi imekuwa underutilized.

Kwa Sasa kikosi kazi kutoka Chika tayari kinaendelea na kazi ya upembuzi yakinifu wa namna ya kuifufua na kuifanga reli hiyo iwe na Tija kiuchumi.

Ni maoni yangu kwamba Kwa Sasa reli ya TAZARA inaishia Mji wa Kapirimposhi Zambia na pale imeungana na Reli ya Kutoka Lobito-Angola-Lubumbashi Hadi Kapirimposhi.

Mojawapo ya sababu zinazotajwa kuifanga TAZARA isilete Ufanisi ni kutoungana na Mji wenye migodi Mingi wa Lubumbashi huko DRC hivyo wasafirishaji kuamua kutumia Malori kuepuka gharama za pakia pakua.

Hivyo basi ni maoni yangu kwamba Serikali zetu za Zambia,Tanzania na DRC zije na proposal Kwa China Ili kujenga vipande vipya vya reli ambavyo Kwa maoni yangu vitaleta Tija na Ufanisi wa TAZARA na kukuza uchumi wa Nchi hizo.

Route Mpya nazopendekeza ni zitapita kwenye Miji ifuatayo;

1.Kasama-Luwingu-Chipili-Mansa(ZBA)-Lubumbashi(DRC)-Solwezi(ZBA).
-Njia hii itaunganisha Mji wa Lubumbashi Moja kwa Moja na TAZARA Kupitia kwenye Makutano ya Kasama ambapo Kuna reli ya TAZARA.Pia reli inaweza kuwa extended Hadi Kaskazini mwa Zambia kwenye Mji wa Solwezi.

2.Kasama-Luwingu(ZBA)-Kasenga-Likasi(DRC).
-Route hii itaanzia Mji wa Kasama ambao unapitiwa na Reli ya TAZARA hivyo utakuwa ndio Maungio na inaenda kuishia Mji wa Likasi ambapo inaungana na reli inayotoka Bandari ya Lobito ya Angola.
View attachment 2844008

-Hizo route Mpya zote zinapitia kwenye Maeneo ya Migodi na ni shorter distance ikilinganishwa na mzunguko wa Kupitia Kapirimposhi na ambako haifiki Lubumbashi.

3.Makambako-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Ruangwa-Mtwara Port.
View attachment 2844011
-Reli hii ikijengwa itafanya pale Makambako kuwa Dry Port na makutano ya reli.
-Hii route ni muhimu Kwa sababu itampa msafirishaji option ya kuchagua wapi apigishe mzigo wake kati ya Dar au Mtwara Ili asichelewe na in fact ni route nzuri sana Ili ku boost Bandari ya Mtwara na kupunguza msongamano kwenye Bandari ya Dar.

Ukiangalia umbali wa kutoka Makambako Hadi Dar na Makambako Hadi Mtwara via proposed route ni the same so hakuna haja ya kurundikana Dar Port.

So Kwa kuwa Wachina wanaendelea na tathmini ni vyema TAZARA na Serikali husika waweke Hilo swala mezani Ili kuangalia uwezekano wa kujengwa,gharama husika na faida kiuchumi.Japo Kwa haraka haraka ukiangalia Ramani zilivyokaa ni wazi ni profitable routes.
Pia soma

My Take
Mambo kama haya ndio Yalikuwa yanamtofautisha Mwendazake Magufuli na wengine ambao Kila kitu wanaona haikiwezeoani.
Umeharibu mwishoni kumtaja huyo mhutu. Unamtaja mhuni mkatili mbaguzi ambaye hakukamilisha mradi wa maana. We ni wale mazuzu yalopumbazwa na huyi mfu wenu.
 
Angepewa mwekezaji mzawa mbona anaweza? Precision Air ameweza na anapata faida pamoja na kwamba hana ruzuku, ATCL inapata hasara pamoja na kwamba inapata ruzuku kubwa sn tu na mishahara inalipwa na serikali.
We unafanya kazi precision, bila shaka ni mangi maana ile kampuni yenu km CHADOMO. Huna hata haya kulinganisha hiyo kampuni ya wachaga na ATCL? KWELI WE BWEGE!
 
Hakuna mahala nimesema watujengee Bure Bali wao Kwa kuwa wako financially stable ni rahisi kuwa engage tukalipana mbele ya safari Kwa sababu tukiongeza Ufanisi wa Bandari zetu itakuwa nzuri sana.
Kwa nini Serikali ya Tz isiingie ubia na wawekezaji wa ndani ili kujenga reli hiyo kwa mtindo wa ubia?? Hata barabara za lami pia zinapaswa kujengwa kwa mtindo huu wa ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom