Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ninaisubiri yani wamepigwa na kitu kizito nchi nzima wanafeel ganzi. Huyu mzee atakuwa kasanuka mengi sana na wengi watajirudi nakujiangalia mara mbili kwa namna walivyowachukulia jamaa wana roho mbaya sana.
Mama inabidi aongee na Museveni vizuri maana hata SGR tuna nafasi kubwa kuwabadili Uganda mawazo! Yaani inapaswa yetu ifike Mpakani mwa Uganda na Tanzania pale Mutukula and the rest will set itself and be history!
 
Jirani mbaya muombee njaa😎😎
Hivi vile vi comments vyao vya kujificha nyuma ya kichaka cha FIFA bado viko valid?
Maana kila ukiwaambia Tz iko juu kimpira walikuwa wanakimbilia FIFA rankings sasa CAF hawatuwezi na FIFA pia sijui wataficha nyuso zao wapi hawa wakunya 🀣🀣🀣🀣
 
Mama inabidi aongee na Museveni vizuri maana hata SGR tuna nafasi kubwa kuwabadili Uganda mawazo! Yaani inapaswa yetu ifike Mpakani mwa Uganda na Tanzania and the rest will be history!
Mpaka hapo tumeshawapiga bao Uganda kachagua Yapi Merkez na anaweka mfumo wa train control wa ulaya ETCS ambao ni compatible na Tz pia Uganda ali delay rail yake ili aone nani yuko serious kati ya Tz na Kenya na nadhani wameshapata majibu tayari mfumo upi wa rail ni wa kisasa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…