Msusruru wa meli is an indicator of port efficiency. Haimaninshi kwamba biashara imenoga. Umeambiwa Mombasa port handles three times the volume that Dar port handles but hakuna msongamano. Mficha uchi hazai kaka!!Idadi ya watu, mahitaji na biashara pamoja na maendeleo yameongezeka sana ukanda wetu wa kusini (SADC) na hiyo ndiyo sababu ya huo msururu wa meli. Bandari tunazo tatu na ufanisi unaongezeka.
Alafu bado wako na nguvu ya kutaja Mombasa kwenye sentensi moja na kijiji cha mwanza wakati Dar yenyewe inapumulia mashineDar ichunge sana mwenzake Mombasa anakomaa kwa kasi
View attachment 2841406View attachment 2841407View attachment 2841408
Kwaakili yako finyu mzigo wa zaire ulivyo mkubwa unaona ni gamble sio? Sasa Zaire na Uganda nani ana mzigo mwingi na bado mnalilia reli ifike malaba wakati Uganda hawana economies of scale ku feed SGR yenu ilete faida au hii sio gambling pia?Zaire ni another Shithole.
That's a big gamble.
Jengo la zamani halina viwango vinavyostahili halina partition, lipo kama jumba la sinema, halina vitu vya msingi zaidi ya hall la kukalia watu kama wapo kwenye kikao.Yaani Kwa nini wanafanya Uamzi wa kujenga terminal mbili? Kwamba Airport ya Mwanza Ina uhitaji huo au?
Mbona Durbam ina meli nyingi kwenye outer anchorage kuliko Mombasa unataka kuniambia Durban iko less efficient kuliko Mombasa?His point is, an efficient port doesn't have so many ships waiting in line. Hata wakati huo mkiwavna three ships in line bado mlikuwa tu inefficient. Wacha kutetea inefficiency
Ameshindwa Kwa lipi? Is it not true that nchi yenu ikiongozwa na kiongozi wao Dar ni uswazi? Ama tulete ushaidi humu?Tatizo lako wewe linalokusumbua ni chuki na wivu wa kike uliopitiliza, huwezi kukubali kwamba umeshindwa, mwisho wa siku utakimbia jamiiforums kisa Kenya kushindwa na Tz, usenge huo. Kubali kushindwa, jifunze kupitia makosa zen move on.
Hivi ni jengo jipya au ni marekebisho ya jengo lililopo?30bln for New Mwanza Airport terminal building.
Swali,vipi Ile terminal building ya awali Ina shida gani Hadi iachwe?
View: https://www.instagram.com/p/C0yThY5tKMc/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Amelaaniwa huyo! Urais ataendelea kuusikilizia!Huyu ni mtoto wa Odinga na baba yake tena anasema kilimanjaro ni yao, naona tatizo ni njaa wanapoteza kumbukumbu 😁😁
Kwani nyie mnavyopiga nduru reli yenu ifike kwa LDC Uganda itawasaidia vipi? Tuanzie hapo kwanza.Hiyo nickel imewasaidia kwa lipi when they are still walloping in poverty? Sasa nyie ldc kama wao itawasaidia kwa lipi?
Yes that's the point. An efficient port should have the supporting infrastructure to enable it handle the incoming cargo volume. A port may handle just two or three ships per month but they end up staying at the dock for ages. That's inefficiency.Mbona Durbam ina meli nyingi kwenye outer anchorage kuliko Mombasa unataka kuniambia Durban iko less efficient kuliko Mombasa?
Sahivi ni shithole baada ya kijeshi chenu uchwara kufungashiwa virago! Ama??Zaire ni another Shithole.
That's a big gamble.
🤣🤣🤣🤣 You guys are jokers right?Alafu bado wako na nguvu ya kutaja Mombasa kwenye sentensi moja na kijiji cha mwanza wakati Dar yenyewe inapumulia mashine
Maumivu ya kunyimwa mkopo!Hiyo nickel imewasaidia kwa lipi when they are still walloping in poverty? Sasa nyie ldc kama wao itawasaidia kwa lipi?
Si Bora hata Samia alijaribu kuwaza kwamba Serikali iwakopeshe magari na iwapimie mafuta Ili kutoka zaidi ya bil.500 zinazotumika Kila mwaka ila imeishia kwenye Makaratasi.
Jengo jipya kabisaHivi ni jengo jipya au ni marekebisho ya jengo lililopo?
Wacha upuuzi wa Magufuli!Haki ya mama watanzania tuzaane jmn, nmetembea zaidi ya km 300 from Dar kuanzia asubuhi napost picha mpk sahizi jioni sijafika ninapoenda lkn ni pori tupu, no wonder hii nchi ndio tulizo la dunia kwa fresh hair breath, tumshukuru Nyerere kwa kupambana na kuhakikisha mipaka yetu haiguswi.View attachment 2841627View attachment 2841628View attachment 2841629View attachment 2841631
Huyo anatapatapa Kwa wivu baada ya Sgr Yao ya diesel kuishia kichakani 🤣🤣Kwaakili yako finyu mzigo wa zaire ulivyo mkubwa unaona ni gamble sio? Sasa Zaire na Uganda nani ana mzigo mwingi na bado mnalilia reli ifike malaba wakati Uganda hawana economies of scale ku feed SGR yenu ilete faida au hii sio gambling pia?
SGR Tanzania inakwenda kutoa huduma great lakes region yote hadi Uganda. Na hivi Uganda ameenda na Yapi Merkez ujue system yao zitakuwa tofauti na zenu kuanzia reli, communications kila kitu hii itakupa muelekeo Uganda wanaumga SGR yao wapi 🤣🤣🤣