Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,217
- 35,607
Mmechezea ukuni na leoHawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Mumi na huku kamongo 😂😂😂😂😂😂We unaumwa kichwa eti kwani uoni mkeka apo au unaleta ubishi kama kamongo
Hawa na wenyewe waanze kwenda ulaya sasa
BTW Tanzania ndo nchi pekee yenye FIFA certified Laboratories zenye kupima umri! MOI!Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Omera you!! huyu jamaa mluo mzungu uwa ananifurahisha sana kaoa Shangazi yangu(Nyar Shirati).....nakumbuka mwaka jana nilikuwa Shirati na yeye pia alikuwa pale tulipiga sana kijaga ila alinizidi,me najua kijaluo kiasi tuKiswahili is just like Kikamba, Kikuyu, kimaasai na Kiluo.
View: https://youtu.be/gZtVxpl4Wqs?si=KAHopFj3snXe5JM-
Utajua mwenyewe, sisi tunaandika kwamba tumewatmb bila cndm.Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Mechi nne Tz vs Kenya, moja mmeshinda kwa penalti, 3 tumewatmb ndani ya dk 90, haya niambie nani mnyonge apo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Vichwa vingine 3 vinatimba hapa tarehe 14 December 2023 kesho kutwa tuu tutakuwa hapa kutoa mrejesho.
Hawa watu wako under prescription ya Bretton Woods institutions. Tuwaache tuu mpaka wamalize matibabu 🤣🤣🤣