Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,619
- 5,791
ndiyo mwingereza ni nini msichojikweza? ndio mana nchi inajawa na laana mnakufa njaa na bado hamjui makosa yapo wapi mnaishi maisha magumu sana na bado hamjui shida ni nini sasa jiagalieni hata na uganda wana njaa kama nyie? hell no.Tz is far behind Kenya in anything commerce. Hata kwa retail space hawaezifika hata half of what Kenya does. Nimeona mwingine alisema ati sijui Afromart is bigger than any retail store in Kenya, after kumuliza the number of outlets kamepotea.
NaivasUnaeza taja retail stores za kenya mimi sijui any. 🤣🤣🤣🤣
Watu wa pertty things [emoji16]Naivas
Quickmart
Magunas
Chandarana
Cleanshelf
Woolmart
Eastmart
Shivling
Bestlady
Muthokinjo
Khetias
Maathai
Tumaini
Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇Naivas
Quickmart
Magunas
Chandarana
Cleanshelf
Woolmart
Eastmart
Shivling
Bestlady
Muthokinjo
Khetias
Maathai
Tumaini
Duh kwamba mko enzi za Antoniette, enzi za French Revolution, hongera sana no wonder mchina kawaletea modern and mighty train according to French Revolution Era perspective, na mabanda ya Kibera yako on right Era.Even France people demonstrating because of "bread "
mbona ana lafudhi ya Kikunya?Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
You are clueless. Can that kibanda rival Naivas with 101 branches?Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Why would we need international brands kama local zetu zinatufaa vizuri? And hiyo culture yenu yakula vyakula kutoka international food chain hatuna !we have the best cuisine in the region and we love to prepare our meals at home! Hatuna hiyo culture ya ku order pizza inn sijui terrific Tuesday etc.Show us the international brands I have mentioned above, local e-commerce shops Kenya ziko in thousands. Tuonyeshe international brands.
Do local use them if yes, why Nairobi nzima kila picha mmevaa kama Team Makoti ya Miso Missondo, Mnalia njaa why wakati mpo na bigger tech ya kufacilitate upatikanaji wa vitu, Alafu E Commerce inauza FMCG, Nyie Kenya mlichagua mfumo wa Supermarket, ambao ni kama umehamia Online, sasa unataka bongo tufanyeje, kila mtaa unakuta una maduka ya FMCG za kutosha,Show us the international brands I have mentioned above, local e-commerce shops Kenya ziko in thousands. Tuonyeshe international brands.
Kitoto cha kibongo hicho mkuumbona ana lafudhi ya Kikunya?
Mnafanya vizuri kwenye kudeliver MOKIMOOOOThere are only 3 e-commerce giants in Sub-Sahara Africa.
Show us a shopping mall in Mtwara kama unajiamini. Kakamega is like Mtwara.Afu wanajilinganisha na USA
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1733455722866671829?t=1wCYaqDfFnNgQy3LFQpcFg&s=19
Sawa tumekubali tuko behind you, shida inakuja ukiangalia hizo E-commerce zinauza bidhaa ila hatuoni Chochote huko, mara maandamano maisha magumu, ikiwa E e-commerce ili iwe hivyo kama data means kuna purchasing power kubwa, inakuwaje nyie matajiri mnalia unga wa ugali bei, mnavaa kama Team makoti ya Miso Missondo.Tz is far behind Kenya in anything commerce. Hata kwa retail space hawaezifika hata half of what Kenya does. Nimeona mwingine alisema ati sijui Afromart is bigger than any retail store in Kenya, after kumuliza the number of outlets kamepotea.
Can this takataka be compared to Quickmart with 57 branches?Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
🤣🤣🤣🤣🤣 We popoma umepost duka mbili zenye they look decent 🤣🤣🤣 naivas ..nikusaidie kupost.? 🤣You are clueless. Can that kibanda rival Naivas with 101 branches?
View attachment 2837610View attachment 2837612View attachment 2837614View attachment 2837615View attachment 2837617
Unapost duka moja decent the rest ni upuuzi, ngoja nitulie nikunyooshe. 🤣🤣🤣Can this takataka be compared to Quickmart with 57 branches?
View attachment 2837620View attachment 2837621View attachment 2837622View attachment 2837623View attachment 2837624View attachment 2837625View attachment 2837626View attachment 2837627
Nyingiii safi makofi kwenu tafadhali. Ongeza matawi Huko North tafadhali huoni Bandit wapo na Minot, watu wa Turkana pia si wanakaa kwa Sentensi yako Purchasing power in Kenya, wasogezee waache kuua Punda, kuna Kuku wa KFC watamu wapelekee, kuna bidhaa nyingi acheni uchoyo wa kukaa Naipori.Naivas
Quickmart
Magunas
Chandarana
Cleanshelf
Woolmart
Eastmart
Shivling
Bestlady
Muthokinjo
Khetias
Maathai
Tumaini
Unaezalinganisha hiyo takataka na Tumaini?Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.