ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,481
- 89,902
Dharau kama hizi mfanye huko hukokwann? Mbona hiyo ni official Presidental statement! Ni kweli kuna Mtanzania wa asili ya Kiarabu anawasumbua!upuke
Usikurupuke kwenye hili!
Wacha kubebwa na propaganda za Wakunya walionyimwa pipeline! Hiyo picha ya chini ni kipindi cha corona! Halafu saahii kuna chatGPT AI Image generator!Dharau kama hizi mfanye huko huko
View: https://twitter.com/mmtairo/status/1730905855791386854?t=qwTWPwITo_IAePCRTLAnFQ&s=19
Hii ni Mbeya ,bustani ya Eden
Yani huku Tanzania hao wote wangetiwa ndani wawe deported wote na msaada wao kuchomwa moto.Imagine et truck chafu ilio beba matank ya maji ije ipaki mbele mlango wa ikulu ya Tanzania na tushikishwe Bangor la donation aisee Nyerere atafufuka
Yani sijui Hawa wenzetu ikulu Yao ni kama choo tu huku bongo ukipita na gari lako kifala kwenye barabara iliyo karibu na ikulu ni shida
Ukiona nchi imefikia hatua hiyo ujue there is no hopeYani huku Tanzania hao wote wangetiwa ndani wawe deported wote na msaada wao kuchomwa moto.
Sisi maskini lakini hatutaki dharau na fedhea kama hizi.
Wazo zuri tu mkuu ila inataka discipline ya hali ya juu!Alafu mnaonaje Hii serikali itupe kazi ya kumanage iconic infrastructure, sisi ni moja ya watu tunaotaka ziendelee kuwa na upya ulelele mpaka kiama.
Na tunataka mtu yoyote asijepata kasoro.
Namaanisha BRT, STENDI, ETC
NaamWazo zuri tu mkuu ila inataka discipline ya hali ya juu!
wow....this is quite something
Aisee are these people living in Mars or what?!!!!!!Aisee wakunya msitufanyie hivo basiππππView attachment 2832381View attachment 2832382View attachment 2832384View attachment 2832386View attachment 2832388View attachment 2832389View attachment 2832391
Nop Hawa wanaishi kwenye mercury planet, wako karibu na joto la jua kabisa ππππAisee are these people living in Mars or what?!!!!!!