muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,855
hayaa sasa wami unapita hata na phonex kabisa saa 7 usiku usalama upo na camera 24\7Na kila kiongozi sasa, anajua hatuwezi mwelewa chochote maana tuliona kinafanyika kwa magu, so kuepuka sifa mbaya ndio unaona Tz miradi inatandazwa na Lazima ikamilike ole wako isikamilike matusi na puplic outrage ni mbaya, sasa isipokamilika utawapa sababu gani wananchi wakuelewe ikiwa kwa Magu kitu inafunguliwa mwisho hiyo inatumika.
Alafungua Stand ya DSM now tunaitumia, Nyegezi now tunaitumia, Dom now tunaitumia, Zamani tulikua tunalingia Moro tu, ila Now moro kama outdated vile.
Nakumbuka Wami ajali nyingi, ikategwa fund, now pita wami pamenyooka sio threat tena.
Yaani the best things ni yeye kua Raisi, na kutufungua macho.
Kiwanja kipo yaani ni kuanza kuchimba tu hapo.View attachment 2832230
TRA wanajambo lao kimyakimya
Wako vizur. Ila nawaza tu, bomu moja tu likipigwa hapo katikat linaweza kuleta hasara na maafa mengi sana. Sina haja ya kutoa ushaur ila nadhan imeeleweka 😶View attachment 2832230
TRA wanajambo lao kimyakimya
basi miji haitajengwa kwa kuogopa mabomu!Wako vizur. Ila nawaza tu, bomu moja tu likipigwa hapo katikat linaweza kuleta hasara na maafa mengi sana. Sina haja ya kutoa ushaur ila nadhan imeeleweka 😶
Fukuza hao nyumbu hamna kituKiko wapi??🤣🤣
East African force begins withdrawal from DRC
A first group of around 100 Kenyan soldiers from the regional force left from Goma airport bound for Nairobi, according to a spokesman for the force on the groundwww.theeastafrican.co.ke
Kito.mbo tunachowapa sio cha mchezo, wamepoteana 🤣🤣🤣🤣JIrani msitususie mjadala bwana kama maji yamezidi unga mseme sio mnapoteana hivi.
Hii kitu ni bandu bandu......😎Another video where the train passes a speeding vehicle ni kama imesimama. Yet some witches will tell you ati our trains can't go past 100km/h
View: https://youtu.be/TIdSUr5dkB4?si=XDYnI3P1EaKj_sbT
Na mbona majengo mawili na render inaonesha majengo matatu au?View attachment 2832230
TRA wanajambo lao kimyakimya
Huu ni ushenzi mkubwa na udhalilishaji mkubwa.Vitu vya mchina ni fake huku jf tu, ila ndio mkombozi wao Hadi ikulu kummmke Tena mbele mlango wa kuingia ndani🤣🤣 aisee hii ni humiliation
View attachment 2832203
Kumbe Yule mtoto wa M7 ameiga tabia na lugha za ajabu ajabu Kwa baba yake.
Imagine et truck chafu ilio beba matank ya maji ije ipaki mbele mlango wa ikulu ya Tanzania na tushikishwe Bangor la donation aisee Nyerere atafufukaHuu ni ushenzi mkubwa na udhalilishaji mkubwa.
kwann? Mbona hiyo ni official Presidental statement! Ni kweli kuna Mtanzania wa asili ya Kiarabu anawasumbua!Kumbe Yule mtoto wa M7 ameiga tabia za lugha za ajabu ajabu Kwa baba yake.