Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,192
- 107,783
Wala usitafute mganga eti umerogwa hapana, mchawi wako huyu hapa🤣🤣👇👇
View attachment 2831462
Mbona hilo cha mtoto, hii misaada huwa haufikii walengwa! Ngoja malalamiko.Hawa jamaa wameona udhaifu wa wakunya vijimisaada vya madumu na unga hadi ikulu ni aibu alafu dunia nzima inafahamishwa 🤣🤣🤣
Second hand hiyo ukiswitch beyond 100km inakuandikia this service doesn't exist in your country 😂😂😂
Pole ndugu😂😂.Wala usitafute mganga eti umerogwa hapana, mchawi wako huyu hapa🤣🤣👇👇
View attachment 2831462
Umesema beyond 100km/h ni?Second hand hiyo ukiswitch beyond 100km inakuandikia this service doesn't exist in your country 😂😂😂
kwani shida iko wapi anapata si wakati ikitestiwa video aweke si ni miaka mitano imepita haya aleteHata mm nina mashaka na hiyo dashboard.
haahaaa wanasema wenyewe bwana kweli geza ile dash bord sio yake.
na lile lorry moja ataweka kwenye beg ama vip😎Moja ya Mbochi export ya Kikunya ikililiwa na inaowatunza huko Uarabuni!
View: https://twitter.com/omwambaKE/status/1730878929018159250
Najua hata Mpumbavu wa ukoo wa sadima mwai Sadima dickson mwaiofhawaii akiacha kazi lazma tajiri amlilie!
soon as possible tutawashusha hapo hatutaki zarau.Tunawafukuzia Kwa speed ya 6G
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1730569185560768984?t=_2fBfNNuwGsFlwnRS66Z9A&s=19
asee chuma inaingia ilikuta soko letu la ndani nyangau bidhaa zao zimefurika akaanza kuzichanga sasa kila mmoja anapenda vya nchi yake masoko yamefurika made in tanzania. ile sabuni yao jamaa sasa amempata mwarobaini anaitwa malaika natokea sijui zanzibari ni sheeda.Chuma kilikuta Nchi imesimama na failed kama Kunyaland?
Zile maneno za nikifa sijui kama miradi itakamilika Zimeishia Wapi?
Mwisho chuma Cha Sasa ni 🔥🔥 kuliko Makelele ya Chuma Mwendazake
uishi miaka mingi sana😀Red markings at 30, 50 & 130 kmph in VAG speedometers - What are they?
Red markings at 30, 50 & 130 kmph in VAG speedometers - What are they?www.team-bhp.com
Acha uongo bana.Ndio mlichobakisha vijipicha vya majengo 🤣🤣🤣.
Zaidi ya hapo hakuna project nyingine yoyote inayoendelea Kunyaland.
Aah wapi!? Hivi mbona nyie watu wa chuki na unafiq kiasi hiki. Hivi nyinyi mnaitana kaka ila roho zenu mbaya nakwambia. Mi nawajua tena kwa sana asikudanganye mtuUshajikatia tamaa maskini ya Mungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Usije kutajia mtu kijiji kama Singida tena. Unashida gani lakini wewe!?NHC complex singida View attachment 2831130
Uongo mtupu😎Aah wapi!? Hivi mbona nyie watu wa chuki na unafiq kiasi hiki. Hivi nyinyi mnaitana kaka ila roho zenu mbaya nakwambia. Mi nawajua tena kwa sana asikudanganye mtu
Labda sio chuma ninachokiongelea mm, yani speed ya chuma uifananishe na ya huyu mama? Huyu mama vi underpass tu vya SGR vinamsumbua kila siku danadana.Chuma hakuwa na akili ya ku-negotiate miradi kama Mama mradi usingeisha in next 20 years! Uliza insiders wakueleze!
Witches ukoo wako! Leta ulichoombwa! So far kitu kiko restricted at 100 km/h hata ile 120 km/h kimeshindwa!Another video where the train passes a speeding vehicle ni kama imesimama. Yet some witches will tell you ati our trains can't go past 100km/h
View: https://youtu.be/TIdSUr5dkB4?si=XDYnI3P1EaKj_sbT