ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,223
- 85,106
limetengenezwa na ava!Gari imejazwa filler kweli kweli😂😂😂
ndio mfe sasa kiswahilikishatambulika duniani na kitakuwa lugha rasmi africa na AU wanatambua hivyo kajinyonge.I use either of the language to communicate, but there's is nowhere I said that either is my language or a Kenyan Language.
sasa hao waarubu wanaongea kiswahili? jibu ndio au hapana ni kawaida kwa lugha kuazima misamiati kwenye lugha za jamii nyingine.We are talking about corrupted Arabic language which you brag of. Nobody bragged of English as their language here.
Sioni tofauti kubwa maanake yetu testing ilienda maximum 160kph, yenu ni 176kph. Yet mmekuwa mkipiga kelele humu eti speed train.Nikuulize jama sawa acha na yetu vipi yenu speed yake unaionaje..
leta miradi mipya ya nchi yako hizi picha mnaziweka sana mbona hamchanganyi na miradi kama sisi au mmeweka nchi bond.
kingereza cha kuletewa na kutandikwa mikanda na kuwa manamba haahaa sisi ndio tanzania bwana ndio nchi africa pekee iliyotoa lugha iliyotambulika ulimwenguni na nchi nyingine zote zimefurahi na kuridhia iwe lugha rasmi ya africa wewe ni nani nyang"au ukaze shingo?We can only communicate using two languages here. One is English and the other is that confused language. If you could understand my mother tongue I would address you using it. Unfortunately you don't.
Lete evidence not empty talk hapaSioni tofauti kubwa maanake yetu testing ilienda maximum 160kph, yenu ni 176kph. Yet mmekuwa mkipiga kelele humu eti speed train.