Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe ni mnazi wa basi!
Now muelewe sasa ule ubishi wa kulazimisha kwenye hamna umetoka wapi. 😂😂😂
IMG_3262.jpeg
 
Kiswahili ni lugha ya kigeni kivipi? Hebu tuambie kinafanana vipi kimuundo na lugha za romance (French, Spanish) au Germanic (English, Dutch) au Slavic (Russian) au Semitic (Arabic, Amharic, Hebrew)?

Ila naweza kukupa mifano chungu mzima kukuonesha jinsi Kiswahili kinavyo fanana na lugha za kibantu kama Kizulu au Kishona au Kigogo, Kimakonde, Kichaga, Kikongo na kikikuyu.
DARASA huru 😁 😁 😁
 
Back
Top Bottom