Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Sasa huo wivu kweli!? Wewe mwenyewe tafakari. In Kenya 120km/h loaded. This one kichwa pekee 137km/h. Wapi na wapi!?
Tuliwaambia hii reli imesanifiwa treni kwenda hadi 200km/hr, vichwa tulivyo nunua ndiyo vina kwenda 160km/hr. Ona hapo wakifanya majaribio ya 176km/hr (109 mph).