ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,246
Bado hujapona?🤣🤣😂🤣
Siponi mpaka nikuone unaokota makopo😁😁Bado hujapona?🤣🤣😂🤣
Nadhani amekudharau ndio maana😁Mwenzako ameumia anatamani kulia lakini amejishikilia tu kama mwanaume😂😂
Kuna yule mwingine alituringishia hiiWasiwachoshe 😂 Kuna Mkundustan humu alishare receipt anakula samosa Supermarket (sehemu ya bakery nadhani) sijui buku jero ile tena kwenye sahani ya plastic na akajigamba sana maeneo hayo yapo Kenya tu😂😂😂😂. Mnapata wapi nguvu ya kujibizana na watu wa aina hii?
Hii sahani😂😂Kuna yule mwingine alituringishia hii
View attachment 2826981
One day Zanzibar will be free… in our lifetime….. there is so much potential in this island being held back by Tanganyika backwardness…. Zanzibar can be the Hawaii of Africa…. Tourism and even offshore gambling cruises just to name a few… the economic potential is immense
Zingatia na Meza yake na Viungo 😂😂😂😂😂Hii sahani😂😂
Assemble all parts from china 😅😅😅😅Yes ziko fake and fortunately we assemble them ourselves 🤣🤣😂🤣
even one day mombasa will be free😅😅One day Zanzibar will be free… in our lifetime….. there is so much potential in this island being held back by Tanganyika backwardness…. Zanzibar can be the Hawaii of Africa…. Tourism and even offshore gambling cruises just to name a few… the economic potential is immense
Majuzi nilikuwa napitia lile jukwaa pendwa la vita kule intaneshno, nikaona umecomment, kidogo ni kubeep uje kwenye battle letu hapa. Ghafla bin vuu naona na huku umeibuka. Karibu tena.Mwingine Alipost Pesta za Ku Dowload kuwa zake
Leo Wanasumbuka Kumjibu 😂😂😂
Ichoboy I know deep in your heart you agree with me.. hata Warabu wenzako wanajua… but I understand we got CCM spies all over and your life matters… nakuelewa tu…. 😜😜😄😄even one day mombasa will be free😅😅
Aliekudanganya zanzibar haiko free nani??
I know some Zanzibar Arabs here… I will give you a hint: they own gas stations.. ( you know them?)… they tell me things…even one day mombasa will be free😅😅
Aliekudanganya zanzibar haiko free nani??
South Africa are really wowed by these Kenyan buses, especially Polo G2.
View attachment 2825919
Kenya to the world. Kenyan buses are respected all over.
We are still in South Africa
View attachment 2825920
Chizi new model wewe😅😅😅😅I know some Zanzibar Arabs here… I will give you a hint: they own gas stations.. ( you know them?)… they tell me things…
Tanzania hakuna ukabila na huwez sikia mtu anajisifu ukabila ndio maana hata wazanzibari wanaitwa watanzaniaIchoboy I know deep in your heart you agree with me.. hata Warabu wenzako wanajua… but I understand we got CCM spies all over and your life matters… nakuelewa tu…. 😜😜😄😄