Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Scania is concerned with the chassis and engine. As long as mchina hakutamper na chassis Scania will always be happy hata kama mmtengezewa kikombe in the name of a bus๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ohh hujajibu swali kwann waliruhusu engine yao na gearbox ikae kwenye fake body?? Kwann?? Huoni lama wanaharibu jina ??

Manake nyinyi munaeza shindana na mchina kutengeza body ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ichoboy hajui bus body ni nini๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unajua ww mr lawyer
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ohh hujajibu swali kwann waliruhusu engine yao na gearbox ikae kwenye fake body?? Kwann?? Huoni lama wanaharibu jina ??

Manake nyinyi munaeza shindana na mchina kutengeza body ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kwani hiyo inawahusu nini? Scania Bora wauze chassis na engine hawajali kama mmtengezewa body fake. Wewe ukiuza kiatu bado utajali ni nani anaenda kuiva?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mm nacheka manake nilikwambia siku hzi umekua comedian ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Leo kenya inashindana na china kwenye bus body building nacheka sana๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Hatushindani na China. Tunawaambia kwamba China inawauzia buses fake compared to what they sell to other developed countries ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Unajua ww mr lawyer
I know and that's why I have been teaching you here all along lakini huna akili ya kuelewa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hatushindani na China. Tunawaambia kwamba China inawauzia buses fake compared to what they sell to other developed countries ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hujawah ku prove na hutakuja ku prove mpaka dunia itasimama ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Na tanzania ndio baba wa chinnese bus na soon ukiskia assembly inaanzishwa ya chinnese bus usishuke hzo nimekupa za chini kabisa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Wasiwachoshe ๐Ÿ˜‚ Kuna Mkundustan humu alishare receipt anakula samosa Supermarket (sehemu ya bakery nadhani) sijui buku jero ile tena kwenye sahani ya plastic na akajigamba sana maeneo hayo yapo Kenya tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Mnapata wapi nguvu ya kujibizana na watu wa aina hii?
Mwingine Alipost Pesta za Ku Dowload kuwa zake
Leo Wanasumbuka Kumjibu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hujawah ku prove na hutakuja ku prove mpaka dunia itasimama ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Na tanzania ndio baba wa chinnese bus na soon ukiskia assembly inaanzishwa ya chinnese bus usishuke hzo nimekupa za chini kabisa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
You don't have brains to assemble Chinese buses.
 
Back
Top Bottom