You can post the best of Luanda, I'm pretty sure Luanda is just an ordinary city ...I've bn passing through alot of forums Luanda is only expensive city to live, and has oil ...By the way, it has just hit me...Can Nairobi compete with Luanda? judging by those pictures, I now have doubts
ππππ Nikikumbuka 10 yrs back mlivokua munatukana watanzania leo hii naona kijasho cha nywele kinawatokaπππnilishapitia kule ndugu...mimi sio kama ww bado ndio bado unabalehe pengin Dar ingine...ile ninayoijua nashuku..
those pictures are amazing...wacha kujifanya...ukigongwa sugua...sio kujifanya eti hujaumia...You can post the best of Luanda, I'm pretty sure Luanda is just an ordinary city ...I've bn passing through alot of forums Luanda is only expensive city to live, and has oil ...
ππππ Nikikumbuka 10 yrs back mlivokua munatukana watanzania leo hii naona kijasho cha nywele kinawatokaπππ
Hvi jay uko timamu dar ni mji mkubwa sana umejengeka karibu kila sehemu so kwa akili yako unafkiri tutaeka magorofa sehemu moja πππ bila shaka utakua nduzapicha ndio hio hapo...leta moja ya Dar inayokaribia hio kisha tuongee
This is 10km away from Dar CBD.picha ndio hio hapo...leta moja ya Dar inayokaribia hio kisha tuongee
Mbona hata ngozi nyeupe pia ndiyo ngozi ya kimataifa, kwanini msijichubue kama Michael Jakson?, mbona mataifa mengine yote yanatumia lugha zao za taifa kama Tanzania na kiingereza kinabaki kuwa lugha ya pili kwa wale wanaotaka kufanya hayo mawasiliano ya kimataifa, hivi wananchi kule vijijini, Turkana, kilifi, Bondo, wanahitaji kuwasiliana internationally?sababu tuna tambua kuwa ndio lugha ya kimataifa kwa sasa...kiswahili ikigeuka na kuwa lugha ya kimataifa na kibiashara tutabadilisha haraka...inaitwa exposure...hata wachina wamanza kujifunza kiingrza kwa ajili ya biashara
wakenya nyie mlikua na dharau na kejeli leo zimeishaππpengine waganda...sio wakenya
na ya LuandaThis is 10km away from Dar CBD.
View attachment 635013
dharau bado zipo tele ila kwa battle inabidi tuangushe mapicha..sio dharauwakenya nyie mlikua na dharau na kejeli leo zimeishaππ
hahahahaa atii 10km u cant fool us..or you meant 10m ...everybody knows darThis is 10km away from Dar CBD.
View attachment 635013
leta bila lights.....kama Mombasa tuThis is 10km away from Dar CBD.
View attachment 635013
naona dawa imekolea sawasawa ndani yako.......Nairobi ni mji unaoheshimika Africa hii na dunia mzima......nakupa pole zangu kwa maumivu
mbona ya kawaida sana?Hio terminal 2 bro kiboko yenu iko njian wanamalizia ujenziππππ
View attachment 635000 View attachment 635002 View attachment 635004
Kiukwel nyie jamaa mnapenda tu kukaa side opposite...nna uhakika ata siku mkiamua sifia bunjumbura mtasema inafunika Darthose pictures are amazing...wacha kujifanya...ukipigwa sugua...sio kujifanya eti hujaumia...
Uliko wewe mimi nshatoka kitambo nimeenda moja kwa moja page ya mwisho kuangalia updates nimekuta hzi picha sasa swali is this pinnacleπππππ naomba tupunguze utani humuππwanaotaka kuona pinnacle wafuate hii link....The Pinnacle | Upper Hill | 300m, 201m | 70, 45 fl | U/C - Page 70 - SkyscraperCity
Ya kawaida kwako ila kwa waliofika watakupa habarimbona ya kawaida sana?
Luanda kamji kadogo sana kamejengeka sehemu moja ufananishe na dar we kweli taa inawakaππna ya Luanda