Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe unaangalia mpira hahaaaa
I watched the game live…I talk shit but I won’t mind both Taifa Stars and Harambee Stars qualifying… it would make the battle even more interesting… Lakini hio group yenu ni ya Morocco … ours is an open case…Ivory coast is not the old team once feared… next two games for Kenya Ziko home next year … then we will continue this conversation…
 
Sijasema inatosha elewa point yangu acha kukurupuka kwenye ile article serikali imesema haina tanks za kuhifadhia mafuta ndio ni ka querry zile za TIPPER zimeenda wapi? Ama wameuza kinyemela?
GoT mara ya mwisho ilikuwa na 51% kama sijakosea! Tanzania with 8 neighbors needs a bigger oil storage farm! Kwahiyo kwa ur shallow thinking unataka kusema ile infrastructure inatosha? Matumizi ya mafuta hayajaongezeka?
 
I watched the game live…I talk shit but I won’t mind both Taifa Stars and Harambee Stars qualifying… it would make the battle even more interesting… Lakini hio group yenu ni ya Morocco … ours is an open case…Ivory coast is not the old team once feared… next two games for Kenya Ziko home next year … then we will continue this conversation…
Tatizo letu kubwa ni TFF kuna vilaza wengi pale wasio na akili. Adel Amrouche ni mbabaishaji na hakustahili kuwa kocha wa Tanzania na hana historia yeyote nzuri kwenye fani ya ukocha.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1726671814359949694?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1713932275887321163?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1699883365325824228?s=20
 
Na Agip ilikuwa ya nani?

Evidence?
Kwanza ujue GoT either bado Ina hisa au ilikuwa na hisa Oryx ndio ujue Oryx alinunuaje AGIP. Agip walivyoondoka walikabidhi serikalini kusimamia maslahi yao. Oryx ikapatiwa mkopo na banks za hapa chini ya guarantee ya serikali kama sikosei $3.5m wakati huo kununua share zote za AGIP. Wakati huo Oryx shareholdet alikuwa mswiss mmoja mwenyewe Augusta energy sasa hivi.

Detail ya transaction yote nilikuwa nayo sijui nime misplace wapi.

Na pia katika ubia huo wa AGIP hata ile Motel Agip bado iko setikalini mpaka leo.

Wakati mambo haya yanafanyika inawezekana wewe ulikuwa bado hujazaliwa au bado ulikuwa Nyarugusu.

Evidence?
 
Naona leo Bongolalas wako kimya mambo ya soka… they are ignoring the 5-0 win by Harambee stars yesterday… meanwhile am watching Bongolala stars vs Morocco live… wanachapwa…. It’s half time…. As I said Kenya has a better chance to win the group but no way Bongo tops theirs… hio ni ya Morocco… and only the group winner qualifies for the World Cup… mezeni wembe vilaza!..🤣🤣🤣🤣
Unaangalia kwa hisani ya Azam media 🤣🤣🤣🤣
 
Unaangalia kwa hisani ya Azam media 🤣🤣🤣🤣
The difference between you and me is if Azam was a Kenyan media, you would not admit watching the game… inferiority complex problems…. But am different.. So , Yes thanks to Azam…I was able to watch the game live from the United States…satisfied???…😄😄
 
Tatizo letu kubwa ni TFF kuna vilaza wengi pale wasio na akili. Adel Amrouche ni mbabaishaji na hakustahili kuwa kocha wa Tanzania na hana historia yeyote nzuri kwenye fani ya ukocha.

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1726671814359949694?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1713932275887321163?s=20

View: https://x.com/KipepeComrade/status/1699883365325824228?s=20

Kumbe mko na Kocha wa zamani wa Kenya….. he’s horrible… you have no hope …. Hamutatoboa….😄😄
 
They have started playing serious teams now after they couldn't let us rest for scoring a lone goal against a mediocre team from a country in tension.😂

Screenshot_20231122_063517.jpg
 
The difference between you and me is if Azam was a Kenyan media, you would not admit watching the game… inferiority complex problems…. But am different.. So , Yes thanks to Azam…I was able to watch the game live from the United States…satisfied???…😄😄
Well satisfied indeed. Azam app is available worldwide.
 
Back
Top Bottom