Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Benchmarking nyumba ya Mkoloni? Miaka 60 hamjaweza kujenga statehouse wenyewe! Tu-benchmark kwa Kenya a shithole country?
Alafu nyinyi mkakajenga mosque in the middle of the desert and called it statehouse? Kisha mnajiona mmefika?
 
leta ushahidi wa picha na hospital hapa nifunge acount sasa hivi.
Nitaletaje picha wakati nyinyi mliaminishwa na viongizi wakuu serikalini kwamba anachapa kazi wakati in real he was he was breathing his last in a foreign land?
 
basi ficha upumbavu wako ndugu zako wako hapa mhimbili na mloganzila kibao na hamna maneno tumekwambia.
 
Wapi yenu?
Ndio hii hapa
images - 2023-11-05T020950.044.jpeg
 
basi ficha upumbavu wako ndugu zako wako hapa mhimbili na mloganzila kibao na hamna maneno tumekwambia.
Kama kuna ndugu na dada zetu huko basi ni kwa ajili ya kuwapa afueni ya matibabu kwa kuwa hamjiwezi kwenye hiyo sekta. Just the same way tunawasomesha walimu wenu huku
 
usisahau ni kweli mnajiweza si unakumbuka wanafunzi wa sudan walikuja wapi?
 
Back
Top Bottom