Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Of course Tandale ni nzuri. Dreamhouses kila mahaliAlafu We jamaa unaonekana unaichukulia Tandale kama Kibera eeh!
Kwa Taarifa yako Tandale ni Nzuri kuliko kibera yenu, na unajua kua Tandale inajengwa shell nyingi, na hizo shell za Tandale bei ya mafuta ipo chini ya proposed, Wameiboost Tandale, Acha kukariri sana, Au tukupe tiketi uje kutembelea Tandale?