Wewe southafrica umefika? Unaijua? au Unapaskia?mimi nimefika capetown,jorburg,pretoria etc na picha ninazo 🤓usiongee kitu usicho kuwa na idea nacho haya sasa nionyeshe any city in Southern Africa panakaa hivi?👇🏼👇🏼Moto. Nimetembea hii Nairobi and I have seen satisfactory change in all directions. Nairobi has no equivalent outside South Africa
Excuses galore. Can't remember the last time Tanzania defeated Kenya.Mkicheza na Tz mnajitutumua ,
Mkiifunga Tz mnaona mmemaliza kazi mkisogea mbele mnakula kichapo mwanzo mwisho,
Team ya Tz huwaga haiwafikirii kabisa ndiyo maana huwa hatusumbuki kutumia nguvu tunapocheza na team yenu ya taifa
Haingekuwa cha ajabu wala haungesumbuka kuquote. Nitajie mahali inakaribia Hurlingham hapo Dar ukiondoa Posta, Kariakoo na Upanga tuoneNo spec
Hakuna chaajabu, cool down
Translate: Ninazo picha nilizopiga filter za hilo eneo kibao.My dear sis or bro, hilo eneo halina vumbi hata kidogo na kijani ya DAR ni kijani kibichi, hiyo ni editing ya hiyo video.. ninazopicha za hilo eneo kibao nilizopiga kwa mkono wangu
Hivi kiprotokali imekaaje mwanajeshi wa nchi anapovaa sare na jeshi jingine na kutwanga foto maana kwa jwtz hao wote wasingekuwa na kazi tenaNjua mlivalishwa mkapiga picha nazo ili muwadanganye maboya wenzenu wakunyalazy soma juu apo kwenye kofia kama jeshi lenye akili utavaa kofia ya US border patrol kweli akili mliuza....
Hebu subiri hizi ni nini??🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hebu tuambie kwenye hilo bus kenya imetengeneza nn kutoka kenya nioneshe kimoja hata bolt and nut pia nioneshe 😅😅😅😅😅😅Ni kweli mnapanda vitu quality with Kenyan number plates 😅😅😅😅View attachment 2815934
Wakati wa nyani kufa kila mti huteleza
Toka kwenye usingizi uje uone vitu real😅😅
Tupe root yake.Do you understand the word retouch? The vehicle got accident and it was returned back to Kenya for remake.