Anaweza kumwaga maji kwenye mabwawa ya umeme watu wakauza generators ila kuwaondoa watu kwenye mito hawezi🙌🙌🙌🙌Wacha kuropoka sheria za mazingira zinasema marufuku kujenga Meter 50 toka katikati ya mto! Nakumbuka January Makamba alijaribu kuwaondoa wale jamaa! Akashindwa!
Yebo stars hq ilikuwa iondoke!Anaweza kumwaga maji kwenye mabwawa ya umeme watu wakauza generators ila kuwaondoa watu kwenye mito hawezi🙌🙌🙌🙌
kidogoo imebakia usherehekee vifo........hehehe.Mumeiweka personal namna gani hii.Mwenye blue ni mganga alaf mwenye nyeusi ni jini alaf mwenye green ni mpiga picha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
View attachment 2812870
Kasema ni Fake Howo Chinese fire Engine?😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
jini katoka ila mganga yuko mahtuti
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1724052309494079706?t=djc2dsQefTUU8kJXrFHUxw&s=19View attachment 2812857
😂😂😂😂😂😂😂😂 Imagine pamevuja, panavunda, pananuka, Kunguni wanataga vizuri 😂😂😂😂😂Kinachobaki ni kuzagaaa kila nyumba ya AbiriaHawa ndio bus body builders😅😅😅😅😅
Ugali tu unawashinda kutafuta wakshiba
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1724014426875965750?t=8qvgZKVSdxHvopAtCAGViA&s=19
Hawez kurudi tena hio id mutaiona after 2 months 😅😅😅😅😅😅Kasema ni Fake Howo Chinese fire Engine?😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Imagine harufu ya viatu na soksi hali itakavokua ndani ya karandinga, yani ni bora ukalale kwenye jalala kuliko harufu ya viatu vitakavovuliwa na bwana omolo njorogi😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂 Imagine pamevuja, panavunda, pananuka, Kunguni wanataga vizuri 😂😂😂😂😂Kinachobaki ni kuzagaaa kila nyumba ya Abiria
Ata ukiangalia izo barabara ziko under construction, vile zimechimbwa na leveling,Tatu city tunayoijua sisi hii hapa😅😅👇👇
Another big white elephant ina miaka zaidi ya 15 lakini haijawah kufikisha hata 1% of its render na haitokaa kufikisha mpaka dunia itasimama
View attachment 2812332View attachment 2812333View attachment 2812334
Manake ni 15 good yrs ziko under construction hata sisi tunaona hvo 😅😅😅😅😅Ata ukiangalia izo barabara ziko under construction, vile zimechimbwa na leveling,
By now najua zote ni lami
We acha tuu, baada ya siku mbili tatu hivi hapakaliki hapo.😂😂😂😂😂😂😂😂 Imagine pamevuja, panavunda, pananuka, Kunguni wanataga vizuri 😂😂😂😂😂Kinachobaki ni kuzagaaa kila nyumba ya Abiria
🤣🤣🤣Kafungua thread huko anaongea mambo ya hovyo kuhusu Tazara utafikiri ni injinia mstaafu😂
Humo kwenye ceiling board juu kutakua na wanyama wa ajabu kama vile bundi na kenge!Nimeshindwa kujizuia kucheka 🤣🤣🤣. Hivi nyie nyang'au mlitumia kiasi gani kufanya renovations hapo?? Just asking for a friend
View: https://twitter.com/MwangoCapital/status/1724061336978501798?t=UrdRS9b4IdmzYku7PTa_fw&s=19
Hamko serious katika jambo lolote, always jua kali on almost everything you try to do, zero brain and hopeless Nation a.k.a failed state ever on planet earth.Ata ukiangalia izo barabara ziko under construction, vile zimechimbwa na leveling,
By now najua zote ni lami