babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Hii picha ni ya November 21 2022.Mpaka mafuriko yaharibu mali za watu ndio wanakumbuka kusaini mkopo daraja 🙌🙌🙌
View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1594691185951793153?t=DOnj_3WlYGRySqgXeEUlUQ&s=19
Ndio nashangaa hapa. Unajiuliza wako na matatizo gani? Isuzu hata haijulikani popote wao wanasema yao ni Original.Hebu subiri unataka kutuambia china hakuna sub scania?? Hvi ww unafkiri dunia ya sasa kuna kitu gani hakitoki china ??
Ikiwa mpaka mitungi yenu ya gongo inatoka china tena ni ya miaka 100 iliopita 😅😅
Ww hujui hata iphone zote zinatoka china ??au na hzo ni fake ??😅😅😅😅😅😅
Bus zote Ilizotumika world cup qatar, south africa na russia zilitoka china je ni fake au??
Leo ndio nimeamini akili inakaa kichwani 😅
Hvi wewe kwa akili yako unaona unaeza shindana na china kwenye kutengeza body za bus kweli?? Are u realy serious??
Body ikitengezwa kenya original ila ikitengezwa china fake 😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
😄😄Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.
Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera yake za utalii.
Hakika Kenya ni mavi kabisa, alafu eti wanalinganisha na JNIA hii takataka 🤣🤣🤣🤣🤣
Totally failed state, haijawahi kufaulu kwa jambo lolote, nchi ya kimavi mavi sana hii.Nimeshindwa kujizuia kucheka 🤣🤣🤣. Hivi nyie nyang'au mlitumia kiasi gani kufanya renovations hapo?? Just asking for a friend
View: https://twitter.com/MwangoCapital/status/1724061336978501798?t=UrdRS9b4IdmzYku7PTa_fw&s=19
Kwani Teargas anasemaje?😁Nimeshindwa kujizuia kucheka 🤣🤣🤣. Hivi nyie nyang'au mlitumia kiasi gani kufanya renovations hapo?? Just asking for a friend
View: https://twitter.com/MwangoCapital/status/1724061336978501798?t=UrdRS9b4IdmzYku7PTa_fw&s=19
Mwenye blue ni mganga alaf mwenye nyeusi ni jini alaf mwenye green ni mpiga picha 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌
jini katoka ila mganga yuko mahtuti
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1724052309494079706?t=djc2dsQefTUU8kJXrFHUxw&s=19View attachment 2812857
Usisahau ni majuzi tu wamefanya renovation tukawa tunaringishiwa humu. 😂😂😂Hakika Kenya ni mavi kabisa, alafu eti wanalinganisha na JNIA hii takataka 🤣🤣🤣🤣🤣
Ona hzo canvas hapo juu 😅😅😅😅Usisahau ni majuzi tu wamefanya renovation tukawa tunaringishiwa humu. 😂😂😂
Kafungua thread huko anaongea mambo ya hovyo kuhusu Tazara utafikiri ni injinia mstaafu😂Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.
Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera yake za utalii.
Wacha kuropoka sheria za mazingira zinasema marufuku kujenga Meter 50 toka katikati ya mto! Nakumbuka January Makamba alijaribu kuwaondoa wale jamaa! Akashindwa! Pale hata zile ofisi za Yebo stars zinapaswa zitoke!Mpaka mafuriko yaharibu mali za watu ndio wanakumbuka kusaini mkopo daraja 🙌🙌🙌
View: https://twitter.com/WizarayaUJ/status/1594691185951793153?t=DOnj_3WlYGRySqgXeEUlUQ&s=19