Kubadili kuwa SGR kama ya Kenya sio gharama kubwa hapo ni slippers tuu za SGR zinahitajika. Ila huko SADC wanatumia Cape gauge ikiwa SGR haitaweza ku operate seamlesslyKwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?
Maana tuta lipo ambalo ndio gharama ni maboresho madogo madogo yatahitajika.
Nahisi Tanzania na Zambia nao watachangia Kwa sababu nilisoma somewhere kwamba wata upgrade kuwa Sgr but hicho kiasi ndio Sina hakika nacho.
Majengo zaidi ya asilimia 80% nairobi muda wowote zinageuka kua kifusiKuna mtaa unaitwa umoja Sijui, huyu kima Nicxie alipost in comparison to magomeni.. huo mtaa ni full of that kinda buildings, matope thing. 🤣🤣 Take a look 👇View attachment 2812514View attachment 2812518View attachment 2812521View attachment 2812522🤣🤣🤣 Dah.!! Cheapest mult storeys buildings on earth.
Rate ya kukimbia nchi imekuwa kubwa tozo zitakuja mpaka kwenye kuvuta hewa ya oxygen
Huko kwao kunyaland mpaka leo kipoison to naikundu wanatumia vipanya (hiace)modern coast walikua wanapiga route za mwanza dar Nairobi kipindi kile buzuruga bado ina hold all regional buses sijui wakaishia wapi 🤓View attachment 2812470
Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.Kwani ikilazimu ku upgrade kuwa Sgr ya kawaida kama ya Wakunya ita cost kipi zaidi ya kubadili hizo rails, slippers na mifumo?
Maana tuta lipo ambalo ndio gharama ni maboresho madogo madogo yatahitajika.
Nahisi Tanzania na Zambia nao watachangia Kwa sababu nilisoma somewhere kwamba wata upgrade kuwa Sgr but hicho kiasi ndio Sina hakika nacho.
sijui kwanini watu wa huko hawaelewi hii maneno!Matuta ya standard na cape gauge hayafanani, huwezi tuu kufumua na kubandika reli moja na kuweka nyingine. Pili, Tazara walitumia cape guage sababu nchi zote za kusini mwa Afrika (SADC) wanatumia standard hiyo.
Kwa cape gauge, unaweza kwenda Harare, hadi Cape Town kutokea Dar, hivyo kuibadilisha TAZARA kuwa SGR itakuwa ukifika kapiri mposhi mchezo umeisha. Kwa ushauri wako, hata ile train ya utalii ya ROVOS haitaweza kufika tena Tanzania na mama Samia atakufukuza kazi yako ya kupiga domo, maana unatoa ushauri mbovu kwenye sera yake za utalii.
Watu wanapoona tuta la reli wanafikiri watu walijiamulia tuu kujaza udongo kama vile wanalima matuta ya mihogo.sijui kwanini watu wa huko hawaelewi hii maneno!
Nauhakika kwenye tembo asingekuwa yule "combred" tungewazidi hata Botswana.
Halafu hiyo iliyopo inaweza kuwa electrified na kuimarishwa ikabeba mzigo mzuri tu! Yaani kwetu kuwa na Cape Gauge ni advantage kama tunataka kuhudumia SADC! Unless SADC wabadili reli yao kuwa SGR ndo nasisi tubadili!Watu wanapoona tuta la reli wanafikiri watu walijiamulia tuu kujaza udongo kama vile wanalima matuta ya mihogo.
Jionee tofauti 😂😂😂😂Muulize mabasi mangapi yanapiga route za kunyaland? Sisi tuna sai baba , dar lux,dar express ,tahmeed na kidia one hawana huo uwezo ni maneno maneno tu! Tuache hayo mazingira ya wenzetu mtihani kwa kweliView attachment 2812448View attachment 2812449🤓🤓🤓🤓
you know we have the chums........hata tanzania na watu wake wote mkiweka for sale tunanunua yote na kuiita sub-kenya.Kunyaland you no longer have to fetch rifined sugar for your industrial uses overseas, we got your 6 o'clock
View: https://youtu.be/HNAYPxK_5Bg?si=wyUtFU0YGuVUzZRZ
Hawa nyang'au kwa wivu wao wako tayari waagize sukari Brazil alimradi tu waikwepe Tz, ha ha ha😁😁Kunyaland you no longer have to fetch rifined sugar for your industrial uses overseas, we got your 6 o'clock
View: https://youtu.be/HNAYPxK_5Bg?si=wyUtFU0YGuVUzZRZ