Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Machozi yamekutoka kwa kuumbuliwa hebu ww niambie yale matoroli yote yanabeba nini mjini kama sio maji kupeleka CBD au unabisha ??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sijakataa, but kitu unafaa ujue ni kuwa mabasi mnauziwa kutoka China ni fake.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
 
China anatengeneza chochote lakini mabasi wanauzia Tanzania ni fake. Hii ni Marcopolo G7 ya aina gani Sasa? Face ni Marcopolo and the rest of the body ni Zhongton πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2812364
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… leo nimecheka sana eti marcopolo fake alooooπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

View: https://twitter.com/SUPERFEOEXPRESS/status/1454114178629840898?t=NE8y_Dp1if1ZCW_VEKzXZw&s=19
View: https://twitter.com/Fundi_machejo/status/1723171491896824276?t=upAFAu3l-KM42nuDkBto6g&s=19
 
Ni vegezo ghan umetumia mpaka ukaja na conclusion kuwa hiyo sio genuine marcopolo?
Look at windows of all the Marcopolo G7 Viagio 1050 alafu ulingamishe ni hii SuperfeoπŸ˜‚πŸ˜…



Windows of original Marcopolo G7 Viagio 1050 looks like this.
 
Nacheka sana kuona hio body ilivo yani nyinyi ndio munatengeza original kuliko china leo nimecheka sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Usijali, Gemilang generation 2 is one of the classic bodies you will ever see. I can remember when Generation 1 was released almost all the big bus companies in Tanzania bought them from Mombasa. Inaonekana hii generation 2 bei iliwalemea kidogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Mbona unaleta front view? I'm talking about the side windows πŸ˜‚πŸ˜‚.

Compare and Contrast.

View attachment 2812378

View attachment 2812380
Yani ww ni vichekesho umesema body is marcopolo engine scania sasa ulitaka body ya china na south africa ziwe sawa ??

Wao wanatengesa body under marcopolo lecense na haziwez kua sawa unavotaka kwenye akili yako

Hii ni moja ya marcopolo from south africa
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…