Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bus ni ya Gor Mahia, it was placed under Owalo because the last bus was auctioned when it was registered under Gor. Right now, nobody can auction that bus using Gor Mahia's name
Huyo owalo mkimzingua analigeuza basi lipige route ya githurai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚football investment nyie bado sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You're showing us Chinese buses and marcopolos assembled in Kenya, and you're very proud
Hivi nyie watu akili huwa mnakalia matakoni ? What’s so special about assembling ? Hata mimi I can do assembling in my house ? Everyone can do it ,? Yaani kuunganisha parts ndio useme ni issue ? Karibu kila machine huja kwenye box then inaunganishiwa na mafundi wa kitaa tu, but anyway , Ukunya ni Laana.
 
Na atupe crash test certificate kutoka German πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Kapatwa na uchungu πŸ‘†πŸ€£ in The best 007 voice
 
Nenda nao mdogo mdogo sababu akili yao haiwezi kuelewa mambo makubwa hivi kwa haraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wao wana wanaju mafuso tu yaliyovikwa mabati yakachapiwa kwa zege 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…