Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Majengo yameezekwa na mabati ya simba imara ndani ya CBD 🤣🤣🤣halafu ni kaeno kadunchu
CC: Mpumbavu wa ukoo wa Sadima mwai sadima dickson alias mwaiofhawaii !Hii ndio flagship ya Kunyan Navy meli built on civilian frame and has no gun turret marine combat by hand guns 🤣🤣🤣🤣
Halafu kuna mkunya humu ndani alisema eti hii meli ni lethal kwenye combat 🤣🤣🤣 I can assure you that you can get vituko kama hivi hapa EA from Kenya only. Watu washapiga hela ndefu.
No single speck of dust.
Asante kwa hekaya za Abunuwasi.😂Sijawahi kuona au kusikia mtanzania akiwa na ndoto za kwenda kuishi kundustan,kuna miaka nikiwa abroad nilikutana na kunyan na baadhi waliniomba niwafanyie mpango wa pasipoti ya TZ,aisee nilishangaa sana!
Mnanunua meli ya uvuvi $50+ mln mnaita warship! Yaani ka-hand propelled grenade kanaizamisha maana hiyo hull haijaundwa kustahimili mlipuko!Asante kwa hekaya za Abunuwasi.😂
Wajinga ndio waliwao watu washakula hela ndefu hapo.Mnanunua meli ya uvuvi $50+ mln mnaita warship! Yaani ka-hand propelled grenade kanaizamisha maana hiyo hull haijaundwa kustahimili mlipuko!
Anyway ukunya ni jadi yenyu mafalamanga!
Imagine merikebu haina hata gun turret sijui ni navy ship gani hii officers wanafanya marine combat kwa hand held guns 🤣🤣🤣CC: Mpumbavu wa ukoo wa Sadima mwai sadima dickson alias mwaiofhawaii !
View: https://twitter.com/WizarayaUC/status/1722130722117275942
Baada ya kuona 👆👆
Wazee wa fitna hawa!
View: https://twitter.com/KBCChannel1/status/1721894247081902511
MY TAKE
I hope mama anaona hizi fitna!