Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatuwezi kufanya huo upuuzi we are of sane mind kuanzia viongozi wetu mpaka wananchi.
Wewe maendeleo ya Kenya inakuumiza kichwa sana. Hakuna Cha upuuzi wala nini. Interchanges tunajenga kwa sababu uwezo tunayo na ni kwa manufaa ya wakenya. Kama inakuuma sana njoo uzibomoe
 

Hii battle ilipoteza mvuto kuanzia mwaka jana, sasahiv imekua ni kenyan empty talks vs Tz's actual development. Mnapiga nduru while Tz inaendeleza miji karibu yote kwa speed ya ndege.. Dom pekee 👇
View: https://youtu.be/uTZcxueUr3A?si=5Qj8KAZlgDZngkuh. .Dom airport 👇
View: https://youtu.be/JDw6g4h5i_M?si=m6btBm-bq5v4UlJD. DOM outering road 👇
View: https://youtu.be/u5AiPnscy58?si=K3GFVTlscA1JSxUT. DOM SGR 👇
View: https://youtu.be/9zaYtCNFQ-Y?si=VY0Zdcm5hQOKd4eC. Real estate development in dodma .. hii ni DODOMA tu na wala sijamaliza kupost
 
Nakumbuka pale Tanga ndio tulimfurusha waziri wa kenya wakijaribu kulaghai waganda kuhusu kupitishia bomba la mafuta Mombasa 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…