Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwenye maneno 10 ya mkenya chukua moja alaf 9 mwachie yeye aondoke nayo...dunia ya leo utamdanganya nani kila jambo liko wazi technology na education iko kila pembe ya dunia utamdanganya nani😀😀😀😀
 
wacha meneno mingi...show us photos of any undergoing construction of pinnacle.
 
uko vizuri kwa porojo...[emoji23]
 
These Dar people just need to get out of Tanzania ndio watajua hawajui.......
Apart from the towers wamebandika moja moja they can match Mombasa city
Source please.
 
Ni jina ama njina?
Mtu haitwi kwa majina anaitwa kwa jina. Hata kama liwe lina maneno mia litaitwa jina.
Huwezi kusema hata kwa kingereza My names is KOLO INZI LOADED utasema My name is KOLO INZI LOADED
Na kwa kiswahili hivyo hivyo utasema Jina langu ni "KOLO INZI LOADED" siyo Majina yangu ni "KOLO INZI LOADED"

Nenda shule dogo bado upo chini sana kichwani Kwikwikwikwikwi.
 
Haha wewe unatumia akili tu kama umbrella
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…