Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Na hapo ni make up tu hiyo, uhalisia ni huu hapa chini 👇👇🤣🤣
Screenshot_20231011-200542~2.png
Screenshot_20231011-200512~2.png
 
Makenya naona hayajatia neno kwenye hizi habari mpya za CAF kuhusu soka la Afrika, yameumia kweli kweli kuona Tanzania tumeyaacha mbali, now tuna compete na wakubwa wenzetu Afrika, kimya chao kinamaanisha wamekubaliana na ukweli. Wazungu wana msemo wao maarufu wanakwambia let strong man passes by, kwenye soka sisi sio size yenu, size yetu ni waafrika kusini wenzetu yaani Southerners wenzetu sio nyinyi wanuka shombo wa East Afrika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Region ya kisenge sana hii, can you imagine region nzima hakuna electrified railway, hakuna BRT wala approved stadium by CAF na wala hakuna representative wa CAF tournament itakayofanyika mwakani, hii region imelaaniwa wallahi, watanzania tuna kila sababu ya kutojihusisha na hii region ya kipuuzi tusije laaniwa na sisi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inflation hits even the most stable economies in the world sasa sijui unawashwa na nini. Why do you think that Kenya should be immune to inflation beats logic.

What modern economy is Tanzania building? Do you know the features of a modern economy ndio utuambie Tanzania is building one? Usiwe unaongea mambo huelewi.

Kwa mambo yote uliyotaja, Tanzania is ahead of Kenya in mining alone, which is a natural resource and maybe agriculture (which I highly doubt)
Utapingana na ukweli mpaka lini? Kila siku tuna share articles zinazotuweka mbele yenu kwa mambo yote hayo aliyotaja coodip1 ifike wakati accept truth zen move on hutakufa.
 
Back
Top Bottom