Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
DAAAAMN...!!!! Naona white metal barrier ya kutoka Githurai imakaa pale balaa ya vitu vya steel/aluminium/silver! Ukunya ni tabia!JKIA NAIROBI
View attachment 2800322
DAAAAMN...!!!! Naona white metal barrier ya kutoka Githurai imakaa pale balaa ya vitu vya steel/aluminium/silver! Ukunya ni tabia!JKIA NAIROBI
View attachment 2800322
Kimeumana Ukunyani 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
View: https://twitter.com/BD_Africa/status/1719724302533009651?t=n_cl2KcpJWY8sFHA1TP4rQ&s=19
Mtabaki kuangalia tu😁
Watu hawataki kutazama kwasabbau hata kwenye simu unaeza tazama watu wanataka wapande waonje fresh air from the free standing mountain on planet na wapate picha za kuonesha wajukuu zao
Alaf nje ya jengo kuna canopy za mabati 🤣JKIA NAIROBI
View attachment 2800322
Hvi ndio kunoga 😅😅😅😅Mombasa inazidi kunoga. Remember, Mombasa has better roads than anywhere in Tanzania
View attachment 2800326View attachment 2800327
Usisahau yetu sio bolt jointed rail 🤣🤣🤣Tungeweza kuwasaidia kwa kuunganisha SGR yao na yetu lakini shida yao sio eco friendly itakuwa inamwaga diesel along our tracks na kuchafua overhead cables zetu na moshi wa masizi hivyo kupelekea kuathiri electrical contact kwenye catenary 😁.
Pia our standards ziko tofauti na zao kwenye height ya coupling na maeneo mengine ikiharibika itakuwa shida kuwavuta.
Tuko vizuri😍😍😍😍😍😍😍😍
Hebu Tazama hapa....na hii ni mwa nje tu...wala hajaingia ndani sana.
View: https://youtu.be/d3e6_5XdMa0?si=ziHJoVF9LlzlW2WL
Watu wanaulizia technology China.. ichoboy01 tell them.. world's first floating wind power. 👇
View: https://youtu.be/VPArwPchoPs?si=62F6fdvRKL852SW1.
Kwani hio huitaki ?? 🤣🤣🤣🤣Leta terminal ya domestic flight
Watu wanaulizia technology China.. ichoboy01 tell them.. world's first floating wind power. 👇
View: https://youtu.be/VPArwPchoPs?si=62F6fdvRKL852SW1.