Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which electric railway?..🤣🤣
👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
tanzania-s-sgr-project-track.jpg
 
Bongolala, I know haya mambo hamjazoea but let me educate you a bit. Drainage systems ni za kupitiza maji mvua ikinyesha, they are not meant for sewage. If that's how you do it down there then you still have a long way to go.

Sewegae ninavoijua mimi hupita kwenye sewer system which I understand ni finyu hapo Dar. A drainage system is not a sewer system/line. Umesikia bongolala?
Whatever the case nioneshe holes za kupitisha maji kwenda kwenye mitaro ambayo ww unadai ni closed hvi ww unatuona watu wote humu akili hatuna au?🤣

Na ukipata hzo holes za kupitisha maji kwenda kwenye closed drainage nitag mm nifunge acc sasa hvi 😅😅😅😅😅😅
 
I told Tanzanians that 4G in Kenya is 100% wakadhani ni mchezo. Kenya haifanani na Tanzania.
Safaricom.com alone in 2022 had a coverage of 97% remember we have other networks like Airtel that fills the gap of remaining 3% to 100%
IMG20231029092913.jpg
 
I told Tanzanians that 4G in Kenya is 100% wakadhani ni mchezo. Kenya haifanani na Tanzania.
Safaricom.com alone in 2022 had a coverage of 97% remember we have other networks like Airtel that fills the gap of remaining 3% to 100%
View attachment 2796507
Wewe sisi sio wageni kenya narudia kukwambia sisi sio wageni kenya tunaijua vzr sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tutakuja kukuaibisha humu ndani utuchukie sasa hvi
 
Oy huu mchongo wa kupiga pavement posta ukiisha tutaagiza vumbi kutoka ukunyani, naona mradi tayari umeanza kuleta taswira.. bro NDINDA we can't wait ufanye unyama uuweke humu mkuu. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cy-kKa_I3_O/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.

Ngoja pakamilike Bro😎, Tutalinganisha na ule ukurutu wa Topestan😂😂😂😂. Kitu chao chochote kipya kipe miezi miwili kinafanana na sura zao.

Angalia Bongo hii barabara miaka kadhaa pavement imebaki na rangi yake.

IMG_1430.jpeg
 
Back
Top Bottom