Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu nae anajulikana kwa uropokaji aliropoka ahadi kwa simba akauza mechi huyu, muhindi sio mtu wa kumuamini kwenye maneno πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hajaropoka huu ndio ukweli, Mwendazake alifukuza Wahindi waliokuwa wananunua mbaazi mambo yakaharibika.
 
Hajaropoka huu ndio ukweli, Mwendazake alifukuza Wahindi waliokuwa wananunua mbaazi mambo yakaharibika.
Alimfukuza nani, siku zote ukibana ulaji na magumashi hakuna mtu atakupenda hata ww mwenyewe kuna sehem kipumulio chako kilibabwa ukawa unatapika muda wote humu ndani umesahau??🀣🀣🀣🀣

Mtoto wake aliahidi billion 20 mpaka kiyama kitafika hzo hela hazijawah toka kiongozi wa simba ukihoji kesho huna kazi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kama hutaki kunya boga 🀣🀣🀣🀣View attachment 2792982
Ndio imevunjwa hapo
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hapo ndio Huwa mnafichia udhaifu na Kushindwa kwenu 🀣🀣

Ulaji upi? Manji na Washirika wake walikuwa wanakula nini huko?

Unamkomoaje manji at the expense of millionsnof farmers? Akili au matope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…