Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Hata sielewi unazungumzia nini hapa.. 🤣🤣Matusi ni ishara ya hasira. Hata ujue lugha zote ulimwenguni hilo linajulikana. (Ila hapo kwa kimombo hata wewe unajua its quite a stretch. Labda ukilinganisha na Mtanzania wa kawaida unakijua ila ukilinganisha na mtu anayeelewa lugha uko hivi hivi tu)😂😂😂
Ni kama hujui meaning ya time traveler. Time Traveler anaweza Enda Enzi zote - iwe 1990 ama 2990. To make it short, time Traveler ana uelewa Zaidi ya mtu was kawaida maana anaweza ona jinsi mambo yalivyofanyika na yatakavyofanyika. That's why I told you your English is wanting, delete it from the languages you claim to be fluent at.😂Yeah I can see you back in 1990s. Bado hata haujafika hii error enye tupo sasa. 🤣🤣🤣
Improve your comprehension.😂Hata sielewi unazungumzia nini hapa.. 🤣🤣
Alooooooh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nani aliwadanganya wametengeneza BUS za BRT za Tanzania?
Na haujakosea hata kidogo😁😁Yaan ww kama sikosei akili huna.
Mtanzania angeongea hivi kuhusu Kenya hizo clip wangeshare mpaka kwenye mabango, lakini wao wakisifia Tanzania hakuna hata anaejali huku 😂😂Wakenya wenye akili na wanaoweza kuishi na ukweli 👇👇
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/PearlRadioKe/videos/338826255328666/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Unasumbuka ukiwa wapi wewe arap kipchirchir?😁Ndoto ya mitanzania ni kutawaliwa na waarabuView attachment 2791199
Na 'kudadeki' wanajua kuiongea halafu kuna UTI holder humu anasema kiswahili kimeanzia Kunyaland 😂😂😂
Fool Martinair is an airline WAY bigger than KQ!Martinair is the name of the plane. KLM and Air France are partners in Sky team
Rais wa TZ anatokea wapi?nionyeshe mpwani yoyote alieshika nyadhifa kubwa ya kitaifa,huko mtu kutoka pwani akienda bara huko anachukuliwa kama mgeni na si mkenyaJinsi mnavyobagua Wazanzibari kwao.😂😂
Joho ndani ya uzi wa wananchi,jana alikuwepo kwa mkapa kushuhudia wananchi tukimchapa azamNaona ushabadilisha magoli. Sasa mmeanza kuiba visivyo vyenu. Hehee😂😂😂
Mama ngina aliwadanganya😅😅😅Hivi nani aliwadanganya wametengeneza BUS za BRT za Tanzania?
Samia Suluhu is a product of tokenism. Many Coasterians have held and hold senior positions in Kenya and are members of the cabinet. Mkishashindwa na hoja ni kujaribu kugawanyisha Wakenya. Jengeni port yenu muache kutamani vya watu.Rais wa TZ anatokea wapi?nionyeshe mpwani yoyote alieshika nyadhifa kubwa ya kitaifa,huko mtu kutoka pwani akienda bara huko anachukuliwa kama mgeni na si mkenya
Joho ana pesa ya kutembea popote atakako. Kabla aje Bongo alikuwa marekani na anajulikana kutalii nchi mbalimbali. Wewe huwezi kuja Kenya sio eti hutaki Bali huna pesa. Inferiority complex isikufanye ujione special Dogo.Joho ndani ya uzi wa wananchi,jana alikuwepo kwa mkapa kushuhudia wananchi tukimchapa azamView attachment 2791241
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Bahati nzuri wameanza kugundua, Ukiona mtu uliyedhani umemzidi anakupumulia kisogoni ujue umekwisha. Siku hizi kwenye social media wanapewa makavu na wabongo live bila chenga.Walijazwa upepo na kigazeti ki1 kilidai hivyo while golden dragon ya china ndio iliyotengeneza yale mabus