Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe huoni kwamba hamna akili? Hata tukisema ndege 20 zote ni za kq, huoni kama bado hamna akili? Tangu uhuru shirika lina operate lkn lina ndege 20 tu, air Tanzania imefufuliwa juzi tu hapa now ina ndege 17 na nyingine zinakuja.
Tena hizo ndege ni zile walizoiba East African Airways ilipovunjika😁😁
 
🤣🤣🤣🤣 Hizo basi za umeme zenye mnaita BRT zipo ngapi uko kwenu.? 🤣🤣🤣 Kwenye vita mabomu unakujaje na kisu.. BRT buses ni system Bro, I'm talking about 400+ buses and more to come.. barabara zote kubwa DAR zinapigwa BRT lanes. We ni fala nini wewe.? Halafu nani kakwambia DAR hakuna treni.? Bro Dar ni mji ambao uko na aina tofauti tofauti za usafiri for it's people to navigate.

1. Vivuko
2.boti 3.BRT buses 👇.. 4. Commuter train👇 5.daladala 👇. Halafu skia stendi za hizi daladala in DAR are all better than your international Green Park bus terminus. 🤣🤣🤣 Nimeona nikutie adabu usirudi tana.
 
Wewe bana acha bezo na mzaha. Sasa hii mikebe ndo unaleta hapa??
Ena coaches pekee wako na buses over 100. Acha mchezo.
Tufuta basi za hadhi uje. Hizo umepost ni usual things
View attachment 2790686View attachment 2790688View attachment 2790689
🤣🤣🤣 Kampuni ya basi nne+ daladala unaileta kwenye vita ya kampuni kubwa za mabasi.? 🤣 Ulidhani sitaifuatilia au.? Basi zenyewe scania zinakula mzinga kila siku 👇.. 👇"ENA Coach" ENA Coach. 🤣🤣 Dah.!!
 
Nishasema, Watz huamini kilichopo akili mwao, bora wajiliwaze. Haya Tafta Buscar pia. Ama hizi za kwenda Western. Sijaweka za Coast na North
 
Narudia tena kusema hapa jamvini mzigo wa AFCON 2027 utaachiwa Tanzania msiseme sikuwaambia kabla.
 
Narudia. Soma historia.
 
Nimechelewa kuuona huu mjadala.. lkn hapa kwenyewe umeshindwa kuandika sentensi kwa kiswahili yote. Ndo kiswahil kitoke kenya?.
Pia kiswahili cha mtoto mdogo wa Tanzania ni bora na kinaelewa kuliko hata cha mtu mzima huko kenya.
So typing a paragraph in Kiswahili changes the history of Kiswahili? Stop being a fool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…