mazafanta hizo plate no ni shida kuonekana si ndioAlaa!! Huyu bwana mdogo mbona anamachungu hivi!?
Siamini, picha tu ya Westlands inakufanya ulie na kukasirika kiasi hicho!!! Daah.
Ndio hii rudia kuona vizuri.
BMW M3 na Ferrari Spyder za Carl Flash Tundo. Mwendeshaji wa Rally Cars in Kenya.
View attachment 2788531
Kumbe ile safari ilikua ya kutembeza bakuli la sgr
Eti green stadium, ha ha ha😁Hii ndio green kericho stadium hvi mulilaaniwa na nani nyinyi mbwa ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣kaaaahhh
View: https://twitter.com/MakauWaMuli/status/1715778751517077578?t=KxCYZYjldMdcQaJ4Si_qDw&s=19
View: https://twitter.com/karoba_john/status/1715662873718858068?t=k_rxtp5M1ZgZliTpFIa6_w&s=19
Mtukufu ni Mwenyezi Mungu pekee acheni kufuru enyi wanadamu.
Toa upuuzi hapa,mlishaoigwa Pini kwenda kununua mazao directly Kwa mkulima ,ni aidha ushirikiane na company za Watanzania au ukanunue kwenye secondary market.Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.
Awamu hii Kila rekodi itawekwa na kuvunjwaMtukufu ni Mwenyezi Mungu pekee acheni kufuru enyi wanadamu.
Kama ulikua unazihitaji sana plate no ndo hz hapa. Zmesajiliwa kenya magharibi😄mazafanta hizo plate no ni shida kuonekana si ndio
Kimbinyiko nae kaingiza chuma mpyaa za kushato 👇
View: https://www.instagram.com/p/Cyog3hqLPPP/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==. Kwenye hii sector Bongo tunafanya poa sana