Siamini, picha tu ya Westlands inakufanya ulie na kukasirika kiasi hicho!!! Daah.piga picha kwa uwazi kwanza ioneshe aerial view na plate no za magari mbwa nyie mbona hamjiamini
Mbona unakuwanga na hasira sana bro? 🤣 🤣wacha kuota mjinga wewe! Kama aliishi Ukunyani?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sijawahi eleweka hizi hasira ni za nini na Watanzania!?Mbona unakuwanga na hasira sana bro? 🤣 🤣
Hasira za watanzania uliziona wapi, ushawahi kuona tumechinjana kama nyie? Ushawahi kuona tunaandamana kwa vitu vidogo vidogo kama nyie? Mshawahi kuona tunatukana tukana viongozi hadharani kama nyie?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sijawahi eleweka hizi hasira ni za nini na Watanzania!?
Halafu zinawasaidia nini!?
Ndiyo hii talanta stadium?
Apo ni wezi modelKuna Green park ultra modern bus terminus 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2788220
Ila wazee msimchukulie poa Diamond kununua haya magari.DIAMOND ameongeza chuma nyingine. Mercedes Benz sprinter van. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/CyoJd28NwNf/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Mbona kama mabanda yangu ya kufugia kuku haya
ofcourse substandard roads like this with no proper demarcations n lights r nowhere to be seen in Tanzania!Roads like this will never be seen in Tanzania
View attachment 2788427
Enda ground wacha mdomo, scumbag ni wewe na pisi wakoAsee Such scumbag. You got any evidence?
Then why tukiziba mpaka wakulima wa bongo ndio kelele sio wa Kenya?
Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.Nilitegemea kukutana na comment kama hii.
Comment kama hii huwa inatumika kuficha aibu.
Ground ni wapi!Enda ground ukikosa wakenya na wamehire mashamba, na kununua na kusafirisha ukam useme hapa, huko tunawauzia hadi alot of agroproducts, I knw what I'm saying. Si watanzania wanajituma kuleta mzigo kenya Bali kenyans taking themselves to source and transport back to kenya.
Watu wanakalia zege serious 2023 ??🤣🤣🤣