The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Bwawa lipi unalozungumzia, we c unasemaga humu kujenga bwawa ni upuuzi?Unatafutiza matatizo πππ hata kukatika Kwa umeme ni Changamoto ya mahitaji makubwa ya maviwanda na watu,isingekuwa hivyo umeme ungetosha kabisa.
Mwisho Changamoto ya umeme ni ya kitambo tuu,mvua zilishuka tuu mgao unaisha ,mwezi wa 6 mwakani mtambo wa kwanza wa bwawa unawashwa na kama kutakuwa na demand zaidi tutakuwa tumekamilisha kuunganisha grid na Kenya tunaingiza umeme wa Ethiopia (East Africa electricity pool).
View: https://www.instagram.com/p/Cylug_dotau/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Huyo dawa yake kumuignore tu mwisho wake atajiona mjingaKwani we unadhani uyo jamaa anamkubali Samia? Huyo adui yake ni Magufuli, yani yeye alikuwa tayari kumshabikia yeyote yule hata angekuwa paka na sio Magu, tatizo anachoumbuka ni pale Samia anaendeleza yale yale ya Magufuli aliyoyaacha, na ndiyo maana akasema kazi iendelee, jamaa kila anachopost 90% vilianzishwa na awamu ya tano lkn bado hapo hapo anajifanya chizi, ok hakuna haja ya kurudisha haya mambo, tatizo jamaa wa mipasho mpk leo bado ametawaliwa na Magufuli kichwani mwake, cjui alimfanyaje au sijui alimfi.ra yn ata sielewi hii chuki inatoka wapi.
Ukiwaona kunyan hapa sasa wanavyojitapaSasa hapo wanaishi Binadam au Nguruwe!!
Yaani Elf 40 Kulipia Zizi la Nguruwe eti Makazi kha!
Ni wapumbavuYaani Jamaa ni Mazuzu kweli Ni vibendera Fuata Upepo sasa Hao kweli Unapoteza muda kuwajibu!!
Mwanzo walilishwa maneno na Obama wa bongo 'Tanesco hawakufanya maintenance kipindi chote miaka 5' mara mvua ziko chache,.. saiz nasikia vijana ndo sababu ya umeme kukatika.. nao kama ng'ombe wanakubali tu. Thanks God, wale wahuni.. obama wa bongo na Mr. BEANS hawapo tena wizara yetuDozi unajipa mwenyewe maana kama ni umeme ukikatika na kwako pia unakatika,petrol tunanunua wote bei 1,machawa wanapitia yote mabaya tunayopitia wengine
Huwa sikujibug ila unachekesha sana ..Unatafutiza matatizo πππ hata kukatika Kwa umeme ni Changamoto ya mahitaji makubwa ya maviwanda na watu,isingekuwa hivyo umeme ungetosha kabisa.
Mwisho Changamoto ya umeme ni ya kitambo tuu,mvua zilishuka tuu mgao unaisha ,mwezi wa 6 mwakani mtambo wa kwanza wa bwawa unawashwa na kama kutakuwa na demand zaidi tutakuwa tumekamilisha kuunganisha grid na Kenya tunaingiza umeme wa Ethiopia (East Africa electricity pool).
View: https://www.instagram.com/p/Cylug_dotau/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
Kwamba na wewe mdumavu wa akili toka sumbawanga unataja neno teuzi ? Hii dunia πππSasa Mimi siko hapa kutafuta teuzi nafurahia mafanikio ya Mama na vile ametuwekea mazingira safi.
Mimi mkulima just imagine tulikuwa tunauza gunia la kilo 100 la mahindi Kwa 20,000-40,000 baada ya mama ni 60,000-100,000. Mwaka huu tuu Kwa Serikali tumeuza Kwa 90,000 ,why yaani why nosifurahie na ku enjoy kazi nzuri ya mama wa Taifa?
Kilimo Kwa Sasa ni biashara sio adhabu kama awamu ya wale waigizaji.Na mama amemwaga pesa Kwa watu wa chini.
Najua suku gang mnaumia.Niko hapa kuwapa dozi Ili muumie zaidi.Kwamba na wewe mdumavu wa akili toka sumbawanga unataja neno teuzi ? Hii dunia πππ
Vitu gani hivyo vilivyoanza kujengwa 2015? Kwa nini havikuisha miaka yote hiyo? Mlikuwa mnamsibiria nani aje avomalizie mseme ni mtu wenu? Aliacha pesa? π€£π€£π€£Huwa sikujibug ila unachekesha sana ..
Unataja vitu vilivyoanzishwa kujengwa 2015-2020 ila uko busy kusema 'hakuna kitu kilichofanyika'
Huo mtambo wa kwanza wa Bwawa unajua nan aliupambania ilo bwawa kujengwa? Wakina nan walimpiga bit? Hizo bit, bibi wa saiz angeziweza kuzistahimil, aka kulinda economic democracy?
Anyway sijui kwann naona nimepoteza tu muda kuandika hiki nilichoandika kwa mtu asiejielewa
Au siyo?Bwawa la Umeme Kutoka 30% Hadi Sasa 92% ,hakuna kilichosimama kuanzia Ajira Hadi Kilimo yaani Kwa Samia pesa ipo kiufupi ni π₯π₯π₯π₯Bwawa lipi unalozungumzia, we c unasemaga humu kujenga bwawa ni upuuzi?
Nakuona Mzee wa kupambania mtambo wa bwawa ,habari za kutafutiza mabaya ndio zikufirahishaga sana π€£π€£π€£