Wewe povu zako tumezizoea hapa. Sasa mtu hajui definition ya three-level interchange ananiambia nini?Hiyo inaitwa three level interchange, hamjawahi kujenga kama hiyo from the scratch, zaidi ya kuungaunga tu ilimradi mshindane na Tanzania 🤣🤣🤣🤣
But again, hilo eneo limeshabadilika hivi tunavyoongea, nkipata picha mpya nitaiweka humu, hizo nyumba zimeondolewa now, hapo ni pamoto sana kwa sasa.
Kama kawaida yako hutoki nje ya apartments 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Runda
View attachment 2781736View attachment 2781744View attachment 2781770View attachment 2781771View attachment 2781772
View attachment 2781781
Halafu utasikia eti ooh Masaki, sijui mswaki, sijui makasi, sijui sarakasi...
There are no apartments in Runda bongolala. Ukitaka kuona apartments nenda Masaki. Zimejaa hukoKama kawaida yako hutoki nje ya apartments 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii steel flyover ingekuwa Dar humu ungekuwa unaskia kila mtu eti 'Hakuna kiricho Kenya kisicho Bongo'" 🤣 🤣
Wivu 😂😂I hope he’s wearing dark glasses on his way to Mkapa stadium….those who know , know what I mean…🤣🤣
Northern kenya too, unaona uswazi na vumbi bila electricity kama villages zenu medieval!!!Northern Kenya hakunaga nyumba huko zaidi ya barabara zinazokatiza kutoka counties zingine?
Uswazi 😂😂😂😂😂I hope he’s wearing dark glasses on his way to Mkapa stadium….those who know , know what I mean…🤣🤣
Hiiii wadi degla sports club uko na pictures zake?Runda
View attachment 2781736View attachment 2781744View attachment 2781770View attachment 2781771View attachment 2781772
View attachment 2781781
Halafu utasikia eti ooh Masaki, sijui mswaki, sijui makasi, sijui sarakasi...
Road again, hao watu wa northern Kenya wanaishi barabarani?Northern kenya too, unaona uswazi na vumbi bila electricity kama villages zenu medieval!!!View attachment 2781883
Tuache hizi mbanga zimekaa kishamba sana, SGR ingejengwa with or without JPM, ndio maana hayupo na inaendelea kujengwa, mipango aliianza Mkapa, JK akajaimplement (alishasaini hadi Mkataba na Wachina) JPM alikuja kuiredesign na kuanza kuijenga. Hizi thinking hazina tofauti na zile thinking za bila Nyerere tusingepata uhuru, muda wa kupata Uhuru ulifika Afrika nzima ikawa huru kama ambavyo ni muda wa Afrika kujenga miundombinu, ndio maana unaona karibu kila nchi inajenga reli, viwanja vya ndege, miji mipya, mabarabara n.k.Sababu za kuongezaka mapato ziko nyingi, tozo inayowabinya wananchi wa kawaida imeongeza mapato lakini inaumiza wananchi wa kawaida.
Uchumi wa kweli unatokana na uwekezaji wa ndani, ni baada ya kujjdhatiti ndiyo mnaleta wageni. Marekani na South Korea walifunga masoko yao kwa miaka mingi, mpaka walipojitosheleza ndiyo wakafungua nchi zao. Nyinyi waswahili hamtengenezi hata vijiti vya meno mnataka mfungue nchi? Ujuha huo.
Mara hii umeisahau Rites ya india iliyokuwa imenunua TRC? Kujenga SGR ya umeme (zaidi ya 1500Km) ni jambo la kawaida? Nitajie nchi gani Afrika iliyofanya hivyo?
Kuwaminya wananchi kwenye tozo ili kulipa madeni ya chanjo za Covid sawa ila kutumia hizo pesa kuendesha mashirika ya umma, kosa. Akili za tumbili hizi.
Don’t you love Kenya’s freedom?…. Ati mpaka Bongo citizens have to express their freedom using Kenya politics…. That’s shameful!… imagine mtu aweke cartoon character ya Mama Samia….. Best 007 and his CCM goons would have a hunting day….🤣🤣🤣🤣