Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni maupuuzi kwa sababu mnajua mko down kimichezo.

Yani tuko mbele yenu katika nyanja zote za michezo halafu mje hapa na midomo yenu yananuka na kuyabenua eti ooh tumeshinda Kenya kimichezo kisa mko Afcon.

Afcon gani wakati tuliwanyorosha huko huko Afcon kama burukenge!!

Yani tuwazidi kwenye mpira, riadha, rugby, volleyball, cricket, Basketball, ndondi, na mengineyo na bado mko hapa na kelele zenu!!! Hata hamna aibu nyie viumbe
Ikiwa mnafungwa mpaka na South Sudan timu ya wakata mkaa ndiyo mje mshindane na Tanzania ya AFCON, unaumwa mavi wewe sio bure 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii ya kufinywa na SS ndo ya last time. 😂😂😂
Na ndio lilikuwa swali langu kwamba wao wanasema wako juu yetu kwa fifa rankings, nikamuuliza wewe unaamini hivyo? Je, mara ya mwisho mmecheza mechi ya kimataifa lini, mkapata matokeo gani? Mara ya mwisho kushiriki michuano ya kimataifa ilikuwa lini?

Fala akanijibu eti walicheza na Qatar wakashinda, kwamba hiyo ndiyo ilikuwa mechi yao ya mwisho na picha akaweka, wallahi wakenya hawana akili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hata GDP wanayo kubwa but guess what, wana survive kwa vyakula vya misaada. 😂😂😂
 
Fala wewe, angalia tarehe za mechi alafu rudi juu uone jinsi mlivyo waongo waongo. Taifa la watu wapuuzi kabisa msioweza kuishi bila uongo.View attachment 2779400View attachment 2779401
I thought I was engaging an informed person kumbe just a Tanzanian moron?

Look bongolala, the match took place on September 7th this year in Qatar. That is exactly two months ago. It even had a live commentary on SkySports

Don't you think you look stupid by objecting everything, even those posted on official websites? Is this how far desperation and blind patriotism have taken you? Disastrous!!
 
So, hiyo ilikuwa mechi yenu ya mwisho ya kimataifa? Wakenya hamna akili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mlienda kufanya mazoezi na Qatar wakawawekea watoto mkashinda, mkarudi kucheza na South Sudan mkanyukwa pumbavu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hata nyinyi nendeni mfanye mazoezi nao. Desperate bongolala!😆
 
Hata nyinyi nendeni mfanye mazoezi nao. Desperate bongolala!😆
We mlevi angalia ulichoulizwa na ulichojibu 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20231012-003112~2.png

Alafu angalia uhalisia 👇👇🤣🤣🤣
Screenshot_20231011-235356~2.png
 
Unazungumzia past kinoma mzee 🤣🤣🤣. Afcon itachezwa very soon, Vipi mtashiriki.?
Hatutashiriki because we were banned by FIFA so we didn't play the qualifiers. Last time we were there, we gave a thorough beating to some lazy souls who ended up registering the worst stats of all the teams that participated
 
I thought I was engaging an informed person kumbe just a Tanzanian moron?

Look bongolala, the match took place on September 7th this year in Qatar. That is exactly two months ago. It even had a live commentary on SkySports

Don't you think you look stupid by objecting everything, even those posted on official websites? Is this how far desperation and blind patriotism have taken you? Disastrous!!
I think you are the only Kenyan who strive to engage meaningfully with Best 007…. His IQ is lower than a bag of hammers…..you are wasting your time… as I said yesterday, he will argue with you that water is not wet just because it’s Kenyan water…. He’s beyond a bind CCM sycophant…he’s just a waste of humanity….😄😄
 
Kumbe Talanta Stadium will be a 60, 000 seater. Kasarani 60, 000, Nyayo Stadium 35, 000. Bongolalas really can't keep up 😂😂😂😂. It is now clear that AFCON finals will be @TalantaStadium

1697076546965.png
 
Yani hawa vilaza wa South hawafai hata kuongea kuhusu sports coz wako zero kabisa. I wonder where they get this energy to engage us in matters sports. Watuambie ni timu zao ngapi zimeshafuzu kwenda Olympics. Us we already have rugby and women's volleyball team flying African flags highView attachment 2779285
Wakunya wanapenda michezo ya ajabu ajabu kama marathon Kwa sababu wengi wao wakienda ng'ambo hugeuka vibaka 🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom