Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I know you don't understand these things but let me educate you a little.

First and foremost, football matches are not produced. They are aired live as they happen. Football is not a movie. It isa sport comprising of two opposing teams with eleven players from each side.

Secondly, any TV station airing AFCON matches MUST buy those rights. AZAM will only air those matches if it secures the rights to do so from CAF. So many other pay-TV channels from around the world will buy those rights so wacha kutupigia kelele na AZAM coz definitely you don't know what you are talking about
Mkizidiwa huwa mnaongea broken English ili kuongopea watu kwamba mnajua kumbe hamna lolote 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani hawa vilaza wa South hawafai hata kuongea kuhusu sports coz wako zero kabisa. I wonder where they get this energy to engage us in matters sports. Watuambie ni timu zao ngapi zimeshafuzu kwenda Olympics. Us we already have rugby and women's volleyball team flying African flags highView attachment 2779285
Hayo ma rugby cjui maupuuzi gn hatuna habari nayo.
Screenshot_20231008-210602~2.png
 
So wewe hapo Tandale kwa mfuga mbwa you know better than FIFA?? Nyinyi ni wa kupuuzwa tu saa zingine
Kenya inazidi Tz kwa kigezo kipi kwa mfano, mara ya mwisho mmecheza mechi ya kimataifa lini na mmepata matokeo gn? Mara ya mwisho mmeshiriki lini michuano ya kimataifa, tuanzie hapo ili tuamini mnatuzidi.
 
I asked you a very simple question. Kama huwezijibu hilo swali, toa jam na uende mbalibna povu zako

Eti last time we played an international match? It was during the last international break where we beat Qatar in their homeground.
Harambee Stars beat host Qatar in friendly match Next question bongolala?
 
Hayo ma rugby cjui maupuuzi gn hatuna habari nayo.View attachment 2779371
Ni maupuuzi kwa sababu mnajua mko down kimichezo.

Yani tuko mbele yenu katika nyanja zote za michezo halafu mje hapa na midomo yenu yananuka na kuyabenua eti ooh tumeshinda Kenya kimichezo kisa mko Afcon.

Afcon gani wakati tuliwanyorosha huko huko Afcon kama burukenge!!

Yani tuwazidi kwenye mpira, riadha, rugby, volleyball, cricket, Basketball, ndondi, na mengineyo na bado mko hapa na kelele zenu!!! Hata hamna aibu nyie viumbe
 
Afcon imekaribia vipi mme qualify.? 🤣🤣🤣 Empty talks tu
 
Ni maupuuzi kwa sababu mnajua mko down kimichezo.

Yani tuko mbele yenu katika nyanja zote za michezo halafu mje hapa na midomo yenu yananuka na kuyabenua eti ooh tumeshinda Kenya kimichezo kisa mko Afcon.

Afcon gani wakati tuliwanyorosha huko huko Afcon kama burukenge!!

Yani tuwazidi kwenye mpira, riadha, rugby, volleyball, cricket, Basketball, ndondi, na mengineyo na bado mko hapa na kelele zenu!!! Hata hamna aibu nyie viumbe
Unazungumzia past kinoma mzee 🤣🤣🤣. Afcon itachezwa very soon, Vipi mtashiriki.?
 
Back
Top Bottom