El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
oysterbay na masaki kama tu buruburu ya eastlands....Dar kila mtu anajenga house of his/her dream hakuna mambo ya estate budaa ukiskia sehemu wanaita masaki au oyesterbay na upanga basi ujue ni nyumba za kifakhari hazina mfano wake kwa ukanda huu😀😀
pa kawaida sana by Kenyan standards
