Hilo group moja alilowapa kawapendelea sana, inshort ni kwamba hamtoandaa AFCON, this is because you don't have proper infrastructures to support tournament ifanyike kiurahisi, mashabiki wakitaka ku move from one place to another itakuwa ngumu mana usafiri wenu mkuu ni matatu ambao sio rafiki kwa watu civilized, sisi tuna BRT ambapo by 2027 itakuwa phase zote 6 zimekamilika, plus ukarabati wa viwanja vya ndege kila mkoa.
Pili hamna viwanja bora na mpaka sasa serikali yenu haieleweki kama itajenga viwanja ama la, sisi tayari tunafanya marekebisho uwanja wa Mkapa ambao ni approved by CAF lakini tunaukarabati uwe bora zaidi na mnaona nyie wenyewe now tunafunga LED na tayari bajeti ya viwanja viwili vya kisasa ishawekwa plus kiwanja cha Amani Zanzibar tayari kipo kwenye ukarabati mkubwa.
Tatu hali ya usalama huko kwenu iko hovyo sana ukizingatia mtakuwa kwenye uchaguzi ambao asilimia kubwa ya wakenya hawamtaki Ruto including you na Ruto hatotaka kuachia madaraka (he is there to stay), lazima muuwane, so hakuna shabiki atataka kuja huko kwenu akauwawe kizembe.
Vitu kama hivyo ndivyo vinavyonishawishi kuamini kwamba hamtoandaa AFCON hata kwa bahati mbaya, kama unabisha niko nimekaa paleee...