Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CAF sio wapumbavu waweke finals or opening match in Kenya. CAF wataangalia records za attendances. Wataangalia kiwanja kipi au watu wa nchi gan huwa wanajaza uwanja mara nyingi kuangalia mechi. Kuna factors nyingine nyingi tu wataziconsider kama security, etc..
CAF pia nao wanapenda kupata hela. Saiz hutanielewa na kuona hoja ni dhaifu, ila time will tell.
Sawa😂
 
umesahau JKIA greenfield terminal!
Screen-Shot-2016-03-29-at-6.45.07-PM.jpg


Tukapewa this 👇👇👇as end product!
Q3DHHQx1rWSw21RVWH0BN2PTmaFkLXN8amYx_E5ZF9-pmuIVf96Sq2DCO6gn6QjV_dBdKmE4TIIWartX5MuNgOB7_CKM=s512



halafu kuna nairobi Greenpark bus terminal

render
rendering-interior-01-e1417887967703.jpg


Final product! 👇👇👇👇😆😆😆😆

krcdz3pinohexehm5faec7a36091e.jpg


Saahii wanatembelea render ya Talanta stadium! pumbavu mwaiofhawaii alias mwai sadima dickson wa ukoo wa sadima ana-post humu render kila siku!
Haya masenge ni mababaishaji, hayana lolote, ni uongo uongo tu, yamesahau kwamba dunia ya sasa humuongopei mtu.
 
Nawakumbusha tuu hakuna Rais anasukuma maendelea kama Samia na ni sekta zooote mambo ni 🔥🔥🔥🔥

View: https://twitter.com/NuktaTanzania/status/1712038678271341000?t=4gMCUT5cfiJId3VoUl_arw&s=19

Wacha ujinga wewe, hakuna rais mwenye maono na aliyeanzisha Tanzania mpya zaidi ya Magufuli na ndio maana huyo Samia wako anasema kazi iendelee, maana yake anaendeleza aliyoacha mtangulizi wake, hata ukinuna huwezi kubadili nyekundu kuwa njano.
 
Wacha ujinga wewe, hakuna rais mwenye maono na aliyeanzisha Tanzania mpya zaidi ya Magufuli na ndio maana huyo Samia wako anasema kazi iendelee, maana yake anaendeleza aliyoacha mtangulizi wake, hata ukinuna huwezi kubadili nyekundu kuwa njano.
Au siyo 😂😂
 
Back
Top Bottom