Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,907
- 103,771
sasa unaleta mabasi animatedVery basic buses.
Leta kama hizi hapo Dar nikueshimu
View attachment 2772978View attachment 2772979View attachment 2772981
Hamna Mabasi msiwe watu wakukaa vijiweni kila siku mkijitungia eti mna mabasi kushinda Kenya, hata Uganda hamuwezi. Nyinyi EA wa mwisho kabisa kwa swala la mabasisasa unaleta mabasi animated
umeangalia video lakini goli halali hilo! na hata kaa si halali still ushindi ni wa simba!Marefa ya Tanzania ni mapunga sana ndio maana Huwa hayachaguliwi kwenye mashindano ya Kimataifa
Mechi inatakiwa kufutwaumeangalia video lakini goli halali hilo! na hata kaa si halali still ushindi ni wa simba!
alisikika jamaa mmoja mwenye vinasabaa vya Uyanga!Mechi inatakiwa kufutwa
Nyie ni njaa Kali tuu hamna jeuri ya Kuzuia imports maana juzi kati hapo nilisoma gazeti lenu linasema Watanzania na Waganda wamekaa huko Rift Valley kununua cheap maize na kuzileta Tanzania ,Uganda,Sudan nk.Good move by ruto to ban imports