Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Blow to tanzanian peasant farmers
IMG_20231005_175053.jpg
 
Blow to tanzanian peasant farmersView attachment 2772861

Huyu anapaswa kupimwa akili! Huyu si juzi kasaini makubaliano na Zelensky kujenga Terminal ya kuhifadhi wheat Mombasa? Sasa ana-protect vp local farmers wakati Kunyaland kuna njaa?
 
Cushioning the farmers from post harvest loss because of el nino. Gunia la mahindi sahii ni ksh 4500 kutoka 3200, millers have no choice than to buy from local farmers
 
For sure

not bad, kwa mji kama Dodoma unafaa kabisa, Dodoma inakuwa lakini sio mji wa kusema utakuwa na watu 5M in the next 10years, bado kuna potential ya kujenga viwanja vikubwa Mbeya na Mwanza kwenye watu wengi na mashabiki wengi wa mpira, plus teams kubwa zote zina plan za kujenga viwanja vyao, tusijekuwa na ghost grounds zimekaa tu hazina kazi.
30k kwa Dom unatosha kabisa, alafu waachane na habari za kujenga mauwanja yenye running track, sio lazima kila uwanja uwe wa olimpiki, watanzania mchezo wa kwanza tunaoupenda ni soka, ujengwe uwanja wa soka, viwanja vyengine vyenye running track vipo vingi na vizuri tu, mfano huu mpya wanaweza wakaufanya ukawa wa soka alafu jamuhuri ukawa wa olimpiki wenye running track.
 
Kabisa..

Back
Top Bottom