Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dodoma ni mji mkuu na ni mji unaokuwa. Kwann wasingeamua kujenga uwanja wa at least 60k capacity badala huu wa 30k?

Na dodoma, uwanja haujengwi sababu ya AFCON. Ulifikiriwa kujengwa hata kbla wazo la kuhost AFCON kuwepo
Mimi hata huo wa watu 30000 nimeridhika nao!
 
For sure
Mimi hata huo wa watu 30000 nimeridhika nao!
not bad, kwa mji kama Dodoma unafaa kabisa, Dodoma inakuwa lakini sio mji wa kusema utakuwa na watu 5M in the next 10years, bado kuna potential ya kujenga viwanja vikubwa Mbeya na Mwanza kwenye watu wengi na mashabiki wengi wa mpira, plus teams kubwa zote zina plan za kujenga viwanja vyao, tusijekuwa na ghost grounds zimekaa tu hazina kazi.
 
Ichogal ulinihepa, naona umerundi…. Post more pictures ya wewe banking your boss money and photos za gari yake… I know you are a stock accountant….kampuni na address Niko nazo… 😄😄😄 I know more about you than you think…🤣🤣🤣🤣🤣
Mm nikuhepe ww naskia zwazwa kakwambia usiongee na mm tena 😁😁😁 mukijua na mgomo baridi lakini naona umeshindwa kujizuia
 
Owner of 1 tractor 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
One dilapidated tractor
Fool Zanzibar and Dar r 27 km apart! R u trying to say there r no 32 world class facilities between the 2 places? 2 international airports, over 40 top class hotels, the latest speed boats and ferries across Africa n 2 world class stadiums!
You forgot to mention sane public transport system in Dar for easy navigation of visitors 😁
CAF shitty standards, can that stadium host world cup games answer is NO! And neither Benjamin mkapa can
Kwani sindano imefika kwa mfupa? Subiri kidogo dawa iingie yote akili itarudi 😁
 

Attachments

  • Screenshot_20231005-093229_Opera.jpg
    Screenshot_20231005-093229_Opera.jpg
    19.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom