Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Hii mnajenga wapi Bro.? 🤣🤣🤣🤣Talanta stadium, finals hapa ndani.View attachment 2764097
Hii mnajenga wapi Bro.? 🤣🤣🤣🤣Talanta stadium, finals hapa ndani.View attachment 2764097
Mm nawaambia mkitoka kuona ubabaishaji wa Kenya ndiyo hapa sasa, hawatoweza ku afford gharama za kuandaa AFCON mm nawaambia, hata Uganda hawawezi, hii michuano tutaandaa pekeetu na lazima iwe hivyo.Huko mbali sana, 2027 wana election. 😂😂😂
Nyie visa free imeanza juzi tu hapa, wakati huu uzi unaanzishwa mlikuwa mnaingia na visa SA, wakati Tz kitambo tu tunaingia kule visa free kule na siyo kule tu ni nchi nyingi tunaingia free.Hahaha….. wakati sisi tunaingia huko visa free…. Poor Uswazistanis ….🤣🤣
"Sisi ni wa South Africans"
Kumbe huko wanafukuzwa 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/MYRSCSA/status/1706253301002485847?t=L2Y1cRtg9gcfmEioMWipXA&s=19
Hamna uwezo wa kuandaa hiyo michuano, ndiyo maana hata viongozi wenu wa soka hawaonekani kwenye mikutano ya CAF, hiyo michuano tutaandaa pekeetu.By the way, hosting AFCON means you automatically qualify. Hii imewauma sana. We will be there no matter what 😂
Asante kwa render 😁😁😁Talanta stadium, finals hapa ndani.View attachment 2764097
Serikali yao haijasema chochote kuhusu hiyo render .. muuni sijui kaikota wapi, Halafu kaitupia humu kikauzu like no body's business 🤣🤣🤣Asante kwa render 😁😁😁
Muwavumilie tu wanahasira sana tena sana😅 na sijui watajenga wapi hvo viwanja wakat ardhi yote iko kwa wanasiasaSerikali yao haijasema chochote kuhusu hiyo render .. muuni sijui kaikota wapi, Halafu kaitupia humu kikauzu like no body's business 🤣🤣🤣
Hata treni c ilikuwa hivi hivi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Talanta stadium, finals hapa ndani.View attachment 2764097
Talanta stadium built by KDF, for football and rugby no running tracksView attachment 2764124
View: https://twitter.com/AbabuNamwamba/status/1704201771126566958?s=19
Asante kwa povu.So ishajengwa au ni render hio??😅😅😅
Coco reborn unataka kuona render za hivyo viwanja? 🤣🤣🤣 👇
View: https://www.instagram.com/p/Cxsm53pteYe/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.
Asante kwa render tena na karibu tena😁😁Asante kwa povu.
Inakuaje unaongea mpaka povu linatoka huko kunako 😁😁😁 au uko jaba
Dar port ndio mwiba kwenu na tuliwaambia ujenzi wa upanuzi wa dar port ukikamilika ty mumekwisha ona sasa mambo yalivo
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1660958458227687424?t=Bhl-mEaefpBZGhG6KbQ1nw&s=19
Coco reborn unataka kuona render za hivyo viwanja? 🤣🤣🤣 👇
View: https://www.instagram.com/p/Cxsm53pteYe/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.